-
"Waliomzatiti kwa silaha Saddam wanatiwa kiwewe na uwezo wa kiulinzi wa Iran"
May 26, 2023 22:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu kile kilichotajwa kuwa 'wasiwasi' wa nchi za Magharibi juu ya ustawi na mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu katika uga wa ulinzi na kusisitiza kuwa, madola hayo yanayotiwa kiwewe na uwezo mkubwa wa kiulinzi wa Iran ndiyo yaliyomshajiisha na kumzatiti kwa silaha dikteta wa zamani wa Iraq, Saddam Hussein ili awashambulie Wairani.
-
Mwanadiplomasia wa Iran, Assadollah Assadi, aliyekamatwa Ubelgiji arejea nchini
May 26, 2023 22:06Assadollah Assadi, mwanadiplomasia wa Iran ambaye alikuwa akishikiliwa kinyuma cha sheria gerezani nchini Ubelgiji amerejea Tehran siku ya Ijumaa.
-
Iran yaipongeza Afrika kwa maadhimisho ya miaka 60 ya AU
May 26, 2023 06:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameyapongeza mataifa ya Afrika kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 60 ya kuundwa Umoja wa Afrika.
-
Abdollahian: Iran haiitambui serikali ya sasa ya Afghanistan
May 25, 2023 21:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiutambua mfumo wa serikali unaoongoza hivi sasa nchini Afghanistan.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Ujumbe wa Kuzinduliwa kombora la "Khaiber" ni kudumisha amani
May 25, 2023 03:16Waziri wa Ulinzi wa Iran ameutaja ujumbe wa kuzindua kombola la balistiki la Kiirani klililopewa jina la "Khaiber" kuwa ni kwa ajili ya kusaidia amani na utulivukatika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
HAMAS yawaonya Wazayuni wasitoe vitisho dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 24, 2023 02:05Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ameuonya utawala wa Kizayuni usitoe vitisho dhidi ya Iran akisisitiza kuwa, vitisho hivyo vya Israel dhidi ya nchi za kambi ya muqawama, vinaonesha hofu na kiwewe ilicho nacho Tel Aviv kutokana na nguvu za wanamapambano wa kambi ya muqawama katika kona zote za ukanda huu.
-
Raisi: Mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Indonesia yatafanyika kwa kutumia sarafu za taifa
May 23, 2023 10:03Rais Ebrahim Raisi amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Indonesia zimeamua kufanya mabadilishano ya kibiashara kwa kutumia sarafu zao za taifa.
-
Rais wa Iran awasili Jakarta, Indonesia kwa ziara rasmi ya siku mbili
May 22, 2023 23:57Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Jakarta mji mkuu wa Indonesia kwa ziara rasmi ya siku mbili.
-
Rais wa Iran ahimiza hatua za kivitendo kuimarisha uhusiano na Waislamu, mataifa jirani
May 22, 2023 00:16Rais Ebrahim Raisi wa Iran ameihimiza serikali kujihusisha kikamilifu zaidi katika hatua za kivitendo za kuboresha uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Kiislamu na jirani.
-
Iran yampongeza Guterrez kwa kuunga mkono mazungumzo ya kikanda
May 19, 2023 01:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamefanya mazungumzo kuhusu matukio ya kikanda na kimataifa.