-
Ununuzi wa mafuta kutoka Iran, nembo ya kufeli sera za vikwazo za Magharibi
Jun 14, 2023 22:53Takwimu mpya zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya (Eurostat) zinaonyesha kuwa, kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2018, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta au bidhaa za petroli kutoka Iran licha ya vikwazo vya Marekani.
-
Ujerumani yanunua mafuta ya Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Jun 13, 2023 03:04Data zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya cha Eurostat zimefichua kuwa, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta kutoka Iran kwa mara ya kwanza tokea mwaka 2018, licha ya vikwazo vya Marekani.
-
Iran, kimbilio la kwanza la wakimbizi wa Kiafghani katika miaka miwili ya karibuni
Jun 12, 2023 02:57Shirika la Kimataifa wa Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa kituo cha kwanza cha kuwapokea wakimbizi kutoka Afghanistan katika kipindi cha miaka miwili ya karibuni.
-
Mauzo ya zana za kijeshi za Iran nje ya nchi yaongezeka mara 3
Jun 11, 2023 22:47Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema mauzo ya silaha na zana za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu nje ya nchi yaliongezeka kwa asilimia 300 kwa mwaka wa Kiirani uliopita (uliomalizika Machi 20, 2023).
-
Iran yaiasa IAEA isitegemee taarifa za urongo za Israel
Jun 10, 2023 08:54Ofisi ya Kudumu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imeutaka Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuwa na msimamo wa kitaalamu kuhusu mradi wa Iran wa nishati ya nyuklia, na kujiepusha na taarifa za urongo za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran yalaani shambulizi la bomu lililoua, kujeruhi makumi msikitini Afghanistan
Jun 08, 2023 21:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana huko Afghanistan na kuua na kujeruhi makumi ya watu.
-
Balozi wa Iran: Israel inataka kuvuruga uhusiano wa Tehran, Riyadh
Jun 08, 2023 21:54Balozi mpya wa Iran nchini Saudi Arabia amesema Israel imekerwa na kuhamakishwa na hatua ya kuhuishwa uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Riyadh, na kwamba utawala huo wa Kizayuni umeazimia kuuvuruga uhusiano huo.
-
Kan'ani: Shughuli za makombora za Iran ni za kawaida na zinafanyika kihalali
Jun 08, 2023 08:05Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shughuli za makombora za taifa hili ni za kawaida na zinafanyika kwa njia ya halali.
-
Ufunguzi wa ubalozi wa Iran nchini Saudi Arabia; kushindwa kwingine kwa siasa za kikanda za Marekani
Jun 07, 2023 21:58Sambamba na kufufuliwa uhusiano wa kisiasa na kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufalme wa Saudi Arabia, ubalozi wa Iran mjini Riyadh ulifunguliwa tena Jumanne, Juni 6 baada ya kufungwa kwa miaka saba.
-
Uwepo wa Iran kwenye jumuiya za SCO, BRICS unaashiria kufeli sera ya kuitenga nchi hii
Jun 06, 2023 01:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema uwepo amilifu wa Iran kwenye Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) na Kundi la BRICS ni ithibati na ya kufeli na kusambaratika sera ya kuitenga Iran.