-
US yahamakishwa na muungano wa baharini wa Iran, Saudia, nchi za Ghuba ya Uajemi
Jun 04, 2023 23:05Jeshi la Baharini la Marekani limetiwa kiwewe na tangazo la Iran la kutaka kuundwa muungano wa vikosi vya baharini vya Jamhuri ya Kiislamu, Saudi Arabia na nchi nyingine za Ghuba ya Uajemi.
-
Imam Khomeini; shakhsia wa kimataifa na nembo ya kupinga ubeberu
Jun 04, 2023 23:03Jumapili ya jana ilisadifiana na siku ya kukumbuka kifo cha Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na nchi rafiki
Jun 04, 2023 08:13Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuimarisha uhusiano wake na nchi ambazo zimetangaza utayarifu wao wa kuhuisha uhusiano na Tehran.
-
Al-Qaddumi: Kadhia ya Palestina ni kipaumbele cha sera za nje za Iran
Jun 03, 2023 02:47Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nchini Iran amesema kuwa, kwa miaka mingi sasa baada ya kupata ushindi Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, kadhia ya Palestina imeendelea kuwa kipaumbele cha sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yakamata zaidi ya tani ya madawa ya kulevya kusini mashariki mwa nchi
Jun 02, 2023 02:56Kamanda wa walinzi wa mpakani wa mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran amesema kuwa, askari walioko chini ya amri yake wamefanikiwa kuangamiza magenge kadhaa ya magendo ya mihadarati na kukamata zaidi ya tani moja na kilo 370 za madawa ya kulevya.
-
Iran na Afrika Kusini zatilia mkazo kustawisha uhusiano baina yao katika nyanja zote
Jun 01, 2023 22:43Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wamekutana pambizoni mwa kikao cha kundi la BRICS na kutilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja zote.
-
Amir Abdollahian:Kushiriki katika makongamano ya kimataifa ni moja ya hatua za sera za kigeni za serikali ya Iran
Jun 01, 2023 02:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameutaja ushiriki chanya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika makongamano ya kimataifa kuwa moja ya hatua za doktrini za sera za nje zenye mlingano za serikali ya Iran.
-
Wanasiasa wa Misri wakaribisha kustawishwa uhusiano wa Tehran na Cairo
May 31, 2023 03:23Wanasiasa na viongozi wa Misri wamekaribisha kwa mikono miwili juhudi za kuhuishwa na kurejeshwa uhusiano wa Iran na Misri.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran inakaribisha kuhuishwa uhusiano wake na Misri
May 29, 2023 08:02Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Iran inakaribisha azma ya kufufuliwa uhusiano wake na Misri.
-
Uzushi na undumakuwili wa Zelensky dhidi ya Iran
May 28, 2023 21:54Rais wa Ukraine kwa mara nyingine tena ameitaka Iran isiipatie Russia ndege za kivita zisizo na rubani kauli ambayo ameitoa kwa kutegemea madai bandia ambayo yamepingwa mara kadhaa na Iran na pia Ukraine haijaweza kutoa ushahidi wowote wa maana kuhusu madai hayo.