Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yasikitishwa na shambulio la kigaidi lililoua makumi Nigeria

    Iran yasikitishwa na shambulio la kigaidi lililoua makumi Nigeria

    Jun 07, 2022 03:39

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu kanisani huko Nigeria hivi karibuni, sanjari na kutoa mkono wa pole kwa serikali ya Abuja na familia za raia wa nchi hiyo ambao waliuawa katika hujuma hiyo.

  • Abdollahian: Iran itaendelea kuunga mkono muqawama wa Palestina

    Abdollahian: Iran itaendelea kuunga mkono muqawama wa Palestina

    Jun 06, 2022 23:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu katu haitoruhusu kukanyagwa haki za Wairani katika mazungumzo (ya Vienna) au kupuuza haki za wananchi Waislamu wa Palestina na kueleza bayana kuwa, Tehran itaendelea kuunga mkono muqawama wa Wapalestina.

  • Sisitizo la Waziri wa Uchumi na Fedha wa Iran kuhusu kushirikiana nchi za Kiislamu kwa ajili ya kuimarisha uchumi.

    Sisitizo la Waziri wa Uchumi na Fedha wa Iran kuhusu kushirikiana nchi za Kiislamu kwa ajili ya kuimarisha uchumi.

    Jun 06, 2022 05:38

    Akizungumza Jumamosi katika kikao cha kila mwaka cha Baraza Kuu la Benki ya Maendeleo ya Kiislamu IDB huKo mjini Cairo Misri, Ehsan Khandouzi, Waziri wa Masuala ya Kiuchumi na Fedha wa Iran, amesisitiza juu ya ulazima wa nchi za Kiislamu kushirikiana kwa ajili ya kuimarisha uthabiti wa kiuchumi wa nchi hizo na kuufanya kuwa na misingi madhubuti zaidi katika kukabiliana na changamoto zilizopo na za baadaye.

  • Iran yamuita balozi wa India kulalamikia kauli za kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW

    Iran yamuita balozi wa India kulalamikia kauli za kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW

    Jun 05, 2022 23:06

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa India mjini Tehran kulalamikia vikali matamshi dhidi ya Mtume Mutukufu wa Uislamu, Muhammad SAW ambayo yalitolewa katika mdahalo wa televisheni huko India na kuibua hasira miongoni mwa Waislamu duniani.

  • Fikra za Imam Khomeini (MA); ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuanza mwamko wa Kiislamu

    Fikra za Imam Khomeini (MA); ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuanza mwamko wa Kiislamu

    Jun 04, 2022 04:35

    Fikra za Imam Khomeini MA za kupambana na ubeberu, mbali na kupelekea kupata ushindi Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, zimepelekea pia kupatikana mwamko wa Kiislamu katika eneo hili zima na duniani kwa ujumla.

  • Baqeri: Wazayuni wanaweza kuwaza ndotoni tu kuishambulia kijeshi Iran

    Baqeri: Wazayuni wanaweza kuwaza ndotoni tu kuishambulia kijeshi Iran

    Jun 03, 2022 23:38

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema: Wazayuni wanaweza kuwaza ndotoni tu kuishambulia kijeshi Iran; na wakati wowote ule watakapoota ndoto hiyo hawataweza katu kuamka tena.

  • Tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran: Saudia haitaki uhusiano mwema wa Iran na nchi za Ghuba ya Uajemi

    Tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran: Saudia haitaki uhusiano mwema wa Iran na nchi za Ghuba ya Uajemi

    Jun 03, 2022 02:50

    Mawaziri wa Nchi wa Masuala ya Kigeni wa nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi mnamo Juni Mosi kwa mara nyingine walitoa tuhuma nne dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran yajibu matamshi ya Ufaransa, Ujerumani kuhusu meli za mafuta za Ugiriki

    Iran yajibu matamshi ya Ufaransa, Ujerumani kuhusu meli za mafuta za Ugiriki

    Jun 01, 2022 05:28

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki.

  •  Kituo cha Kistratijia cha 313; Nembo ya Uwezo wa Kijeshi wa Iran

    Kituo cha Kistratijia cha 313; Nembo ya Uwezo wa Kijeshi wa Iran

    May 30, 2022 22:00

    Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri siku ya Jumamosi alikagua kituo kipya cha siri kilicho chini ya ardhi cha ndege zisizo na rubani cha Jeshi la Jamhuri Kiislamu ya Iran. Akiwa hapo alijioenea uwezo mkubwa wa ndege za kivita zisizo na rubani za jeshi hilo zilizoko katika kituo hicho cha siri.

  • Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Tajikistan zatiliana saini hati 17 za ushirikiano

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Tajikistan zatiliana saini hati 17 za ushirikiano

    May 30, 2022 05:49

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Tajikistan zimetiliana saini hati 17 za ushirikiano katika nyuga tofauti zikiwemo za kisiasa, kiuchumi, kibiashara na kiutalii.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS