-
Jen. Shekarchi: Marekani, Israel zinajua vyema gharama ya kuitishia Iran
Jul 15, 2022 22:14Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel zinatambua vizuri kile ambacho kitawafika iwapo zitathubutu kutelekeza kivitendo vitisho vyao dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Shukurani za Gavana wa jimbo la Herat kwa misaada ya Iran kwa watu wa Afghanistan
Jul 15, 2022 22:12Gavana wa jimbo la Herat ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa misaada yake kwa watu wa Afghanistan.
-
Kamanda: Vikosi vya Jeshi la Iran vinaendelea kuimarika licha ya vikwazo
Jul 14, 2022 21:58Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Nchi Kavu la Iran amesema vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu vinendelea kuimarika na kupata nguvu zaidi siku baada ya siku, licha ya vikwazo na mashinikizo ya kiuchumi dhidi ya taifa hili.
-
Kan’ani Chafi: Hadaa ni sifa iliyoshamiri ya wanasiasa wa Marekani
Jul 14, 2022 06:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hadaa na kusema uongo ni sifa ya kawaida katika kauli za wanasiasa wa Marekani.
-
Iran: Israel ndio mzizi wa ugaidi na ukosefu wa usalama Asia Magharibi
Jul 12, 2022 22:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio chimbuko la vitendo vya kigaidi na ukosefu wa usalama na uthabiti katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Iran yapinga mpango wa US kuunda mfumo wa ulinzi katika eneo
Jul 11, 2022 06:59Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeutaja mpango wa Marekani wa kutaka kuunda eti mfumo wa pamoja wa ngao ya makombora katika eneo hili kuwa ni wa kichochezi na kichokozi.
-
Iran kati ya nchi 15 zinazovutia idadi kubwa ya wanafunzi wa kigeni
Jul 11, 2022 06:31Iran imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 15 duniani, zenye kuvutia idadi kubwa ya wanafunzi wa kigeni.
-
Rais Raisi: Kuna udharura wa kudumishwa sifa maalumu za kihistoria za India
Jul 10, 2022 22:06Rais Ebrahim Raisi amesema, kuna udharura wa kulindwa na kudumishwa sifa maalumu za kihistoria za India, ambayo ni ardhi inayosifika kwa kuheshimu dini mbalimbali.
-
Raisi: Iran inapinga uingiliaji wowote wa ajinabi nchini Syria
Jul 10, 2022 04:39Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran inaunga mkono amani na uthabiti na inapinga uingiliaji wowote wa madola ajinabi katika mambo ya ndani ya Syria.
-
Raisi: Maadui wanatumia magenge ya kitakfiri kuwagawa Waislamu
Jul 09, 2022 03:11Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mwenendo wa magenge ya kigaidi na kitakfiri wa kupanda mbegu za chuki na mifarakano ni sehemu ya mbinu zinazotumiwa na maadui kuibua migawanyiko katika umma wa Kiislamu.