Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Raisi: Makubaliano yoyote ya Vienna sharti yajumuishe kuondolewa vikwazo Iran

    Raisi: Makubaliano yoyote ya Vienna sharti yajumuishe kuondolewa vikwazo Iran

    Feb 20, 2022 00:18

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapatano yoyote yatakayofikiwa kwenye mazungumzo ya Vienna yenye lengo la kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA lazima yajumuishe suala la kuondolewa vikwazo taifa la Iran, sanjari na kupasishwa kwa kipengee kuhusu dhamana yenye itibari, na vile vile kujizuia na masuala ya kisiasa na kuibua tuhuma zisizo na msingi.

  • Iran yafanyia majaribio yaliyofana chanjo ya kukabiliana na Omicron

    Iran yafanyia majaribio yaliyofana chanjo ya kukabiliana na Omicron

    Feb 16, 2022 23:49

    Shirika la Kutengeneza Dawa la Shifa la Iran limetangaza mafanikio makubwa ya awali katika majaribio ya chanjo ya kukabiliana na COVID-19 aina ya Omicron.

  • Iran: Tuko tayari kushiriki katika operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa

    Iran: Tuko tayari kushiriki katika operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa

    Feb 16, 2022 03:42

    Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kushiriki katika operesheni za kulinda amani za umoja huo katika maeneo mbalimbali duniani.

  • Shamkhani: Mienendo hasi ya US ndilo tishio kuu kwa mapatano yoyote yale

    Shamkhani: Mienendo hasi ya US ndilo tishio kuu kwa mapatano yoyote yale

    Feb 15, 2022 23:17

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema siri ya kufikiwa mapatano mazuri kwenye mazungumzo ya kuiondolea vikwazo haramu Jamhuri ya Kiislamu ni Tehran kupewa dhamana ya kisheria ambayo itaifanya Marekani isiweze kujitoa kwa mara nyingine tena ndani ya mapatano ya JCPOA.

  • Safari ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran nchini Pakistan; majirani wawili wenye maslahi na daghadagha ya pamoja

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran nchini Pakistan; majirani wawili wenye maslahi na daghadagha ya pamoja

    Feb 15, 2022 08:58

    Jumatatu ya jana tarehe 14 Februari, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alifanya safari ya nchini Pakistan.

  • Mazungumzo ya Vienna; ajenda kuu ya maungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza

    Mazungumzo ya Vienna; ajenda kuu ya maungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza

    Feb 15, 2022 04:42

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza wamejadili misimamo ya nchi mbili katika mazungumzo yanayoendelea sasa huko Vienna nchini Austria kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Ujumbe wa Hania kwa Kiongozi Muadhamu: Tunajivunia misimamo yako adhimu

    Ujumbe wa Hania kwa Kiongozi Muadhamu: Tunajivunia misimamo yako adhimu

    Feb 14, 2022 23:33

    Kiongozi wa Harakati wa Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amemtumia salamu na ujumbe maalumu Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kumshukuru kwa misimamo yake ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Mazungumzo ya Vienna; anga nzuri ndani ya kivuli cha ubunifu wa Iran

    Mazungumzo ya Vienna; anga nzuri ndani ya kivuli cha ubunifu wa Iran

    Feb 13, 2022 23:41

    Awamu ya nane ya mazungumzo ya Vienna baina ya Iran na kundi la 4+1 inaendelea katika Hoteli ya Palais Coburg nchini Austria huku kukiwa na dalili nzuri za kufanyika mazungumzo katika mazingira yenye kuleta matumaini. Mazungumzo hayo yanaendelea baada ya kusimama kidogo kwa ajili ya kutoa fursa kwa timu za mazungumzo kurejea katika nchi zao kwa mashauriano.

  • Kikao cha pande mbili cha timu za mazungumzo za Iran na Russia chafanyika Vienna

    Kikao cha pande mbili cha timu za mazungumzo za Iran na Russia chafanyika Vienna

    Feb 13, 2022 08:40

    Kikao cha pande mbili cha timu za mazungumzo za Iran na Russia kimefanyika mjini Vienna Austria kwa kuhudhuriwa pia na wakuu wa timu za mazungumzo wa Iran na Russia.

  • Iran ina uwezo wa kukidhi mahitaji  ya zana za kijeshi ya nchi za eneo

    Iran ina uwezo wa kukidhi mahitaji ya zana za kijeshi ya nchi za eneo

    Feb 13, 2022 04:46

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo wa kukidhi mahitaji ya zana za kijeshi na kiulinzi ya nchi za eneo kutokana na uwezo wake mkubwa katika viwanda vya kijeshi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS