-
CBS: Shambulizi la Iran dhidi ya kambi ya Marekani ya Ainul Asad ni moja kati ya mashambulizi makubwa zaidi katika historia
Nov 12, 2021 04:24Tovuti ya mtandao wa habari wa Marekani CBS imefichua mapya yaliyokuwa yamefichwa na serikali ya Marekani kuhusu shambulizi ya makombora ya Iran dhidi ya kambi ya jeshi la nchi hiyo ya Ainul Asad nchini Iraq.
-
Vikwazo vya Upande mmoja, kizuizi cha malengo ya ustawi endelevu
Nov 12, 2021 00:10Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, vikwazo vya upande mmoja vya Marekani vinazizuia nchi mbalimbali kupata vyanzo vya fedha na ustawi unaohitajika kwa ajili ya kutimiza malengo ya ustawi endelevu.
-
"Iran inataka 'makubaliano mazuri' katika mazungumzo ya Vienna"
Nov 11, 2021 04:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili limejiandaa kwa ajili ya kufikiwa 'makubaliano mazuri' katika mazungumzo ya Vienna kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA, yanayotazamiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu.
-
Maelfu ya wakimbizi wa Kiafghani wanaingia Iran kila siku
Nov 11, 2021 04:39Shirika moja la Ulaya la kushughulikia maslahi ya wakimbizi limeiasa jamii ya kimataifa kuwapa msaada wa chakula na makazi maelfu ya wakimbizi wanaoingia nchini Iran kila siku wakitokea Afghanistan.
-
Iran: Marekani iwajibishwe kwa matatizo yanaoikumba Afghanistan
Nov 10, 2021 10:56Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani na waitifaki wake wanapaswa kubebeshwa dhima kutokana na migogoro na matatizo mengine yanayoshuhudiwa hii leo nchini Afghanistan.
-
Waziri: Mafanikio ya mazungumzo ya Vienna yanategemea kuondolewa vikwazo vyote Iran
Nov 09, 2021 04:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufanikiwa mazungumzo ya mjini Vienna, Austria kuhusu makubaliano ya JCPOA kutategemea na kuondolewa vikwazo vyote Iran, sambamba na kuifanya ya kawaida miamala ya kibiashara na Tehran.
-
Jumanne, tarehe 9 Novemba, 2021
Nov 08, 2021 22:54leo ni tarehe 3 Rabiuthani 1443 hijria swaw ana Novemba 09 mwaka 2021.
-
Ulimwengu wa Spoti, Nov 8
Nov 08, 2021 06:02Ahlan wasahlan mpenzi mwanaspoti wa RT na karibu katika dakika hizi chache za kutupia jicho baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyoshuhudiwa katika kipindi cha siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa. Nakusihi tuwe sote hadi tamati ya kipindi...Karibu....
-
Iran: Jaribio la mauaji ya Waziri Mkuu wa Iraq lililenga kuvuruga amani ya nchi hiyo
Nov 07, 2021 23:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali jaribio lililofeli la mauaji dhidi ya Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi.
-
Kamanda Rashid: Maadui wasiujaribu uwezo wa IRGC na jeshi la Iran
Nov 07, 2021 23:14Kamanda wa Makao Makuu ya Kamandi ya Kijeshi ya Khatamul Anbiya ya Iran amewatahadharisha maadui wa Jamhuri ya Kiislamu dhidi ya kuujaribu uwezo wa jeshi la nchi hii na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).