-
Mazungumzo ya Vienna, maendeleo na changamoto zake
Apr 28, 2021 05:35Katika fremu ya utekelezaji wa hatua za kistratijia kwa ajili ya kufuta vikwazo vya kidhalimu na kulinda maslahi ya taifa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilichukua hatua za kulipiza kisasi ikijibu hatua ya Marekani na kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na vilevile hatua ya nchi za Ulaya ya kutotekeleza majukumu yao kwa mujibu wa makubaliano hayo.
-
Bin Salman aonyesha hamu iliyonayo Saudia ya kuanzisha tena uhusiano na Iran
Apr 28, 2021 03:27Mohammad bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia amesema Iran ni nchi jirani; na Riyadh ina matumaini kwamba itaweza kuwa na uhusiano mzuri na Tehran.
-
Rais Rouhani asisitiza haja ya kuimarishwa uhusiano wa Iran na Afrika Kusini
Apr 27, 2021 08:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo suala la kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa taifa hili na Afrika Kusini katika nyuga anuai.
-
Iran yaweka rekodi mpya ya vifo vya Corona, kirusi cha Afrika Kusini charipotiwa nchini
Apr 27, 2021 08:35Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeweka rekodi mpya ya vifo vya Covid-19 baada ya watu 462 kufariki dunia kwa ugonjwa huo hapa nchini katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Namaki: Iran imepata moja ya chanjo bora zaidi za corona duniani
Apr 26, 2021 06:29Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran hivi sasa imeweza kupata moja kati ya chanjo bora na yenye uwezo zaidi ya corona au COVID-19 duniani. Amesema chanjo hiyo imetengenezwa katika Taasisi ya Pasteur ya Iran.
-
Iran yalaani hujuma za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Quds tukufu
Apr 25, 2021 01:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali uvamizi na chokochoko mpya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Marekani yaibua shaka kuhusu kufungamana kwake na JCPOA na kuondoa vikwazo
Apr 24, 2021 06:13Afisa mmoja wa ngazi ya juu katika serikali ya Marekani alisema Alkhamisi kwamba hakuna dhamani ya kimaandishi itakayotolewa na serikali hiyo kuthibitisha kwamba haitajiondoa tena katika mapatano ya nyukilia na Iran na madola mengine makuu ya dunia, mashuhuri kama JCPOA.
-
Haaretz: Chokochoko za Netanyahu dhidi ya Iran ni sawa na kucheza na moto
Apr 23, 2021 07:30Gazeti la Kizayuni la Haaretz limemtahadharisha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel likieleza kuwa, chokochoko za Benjamin Netanyahu dhidi ya Iran ni sawa na kucheza na moto na kwamba zinaweza kuwa na matokeo mabaya kwa Israel.
-
Mwanachuo wa kike wa Iran atunukiwa tuzo katika Shindano la Ubinifu Afrika
Apr 22, 2021 22:01Mwanafunzi wa kike wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametunukiwa medali mbili tofauti katika Shindano la Ubunifu Afrika la mwaka huu 2021.
-
Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya Iran na Saudi Arabia; sababu na umuhimu wake
Apr 22, 2021 05:32Duru za habari zimeripoti kuwa, katika siku za karibuni yamefanyika mazungumzo ya ana kwa ana baina ya Iran na Saudi Arabia katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad kwa upatanishi wa serikali ya nchi hiyo.