-
Khatibzadeh: Huu si wakati mwafaka wa kuitishwa kikao cha JCPOA
Feb 28, 2021 23:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa, kwa kutilia maanani misimamo na hatua za karibuni za nchi tatu za Ulaya na Marekani, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaona kuwa huu si wakati mwafaka wa kufanyika kikao kisicho rasmi kilichopendekezwa na Mkuu wa Siasa za Nje za Umoja wa Ulaya baina ya nchi hizo na Tehran kuhusu kadhia ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Iran yapokea dozi robo milioni za chanjo ya Corona kutoka China
Feb 28, 2021 09:51Shehena ya kwanza ya dozi za chanjo ya kubaliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka China imewasili hapa nchini Iran leo Jumapili.
-
Iran: Njia nyepesi kwa Marekani kurejea katika JCPOA ni kuheshimu ahadi zake
Feb 28, 2021 09:48Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, njia sahali kabisa kwa Marekani kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kuheshimu na kufungamana na ahadi ilizotoa juu ya mapatano hayo ya kimataifa.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Iraq wajadili njia za kupanua ushirikiano
Feb 27, 2021 23:52Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wamejadili masuala mbalimbali katika mazungumzo yao hapa mjini Tehran likiwemo suala la njia za kupanua uhusiano na ushirikiano baina ya pande mbili.
-
Shamkhani: Iran haitaruhusu kuhuishwa ugaidi wa kitakfiri katika eneo
Feb 27, 2021 08:58Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na mataifa mengine yanayopambana na ugaidi katu hayataruhusu kuhuishwa magenge ya kigaidi na kitakfiri katika eneo la Asia Magharibi.
-
Kuongezeka harakati baina ya mhimili wa mapatano wa Kiarabu na utawala haramu wa Israel
Feb 26, 2021 23:15Utata na kutokuwa wazi serikali mpya ya Marekani katika siasa zake za kigeni kuhusiana na eneo la Asia Magharibi ni jambo ambalo limepelea kuongezeka kwa mara nyingine harakati za mhimili wa mapatano wa Kiarabu na utawala haramu wa Israel.
-
Ijumaa tarehe 26 Februari 2021
Feb 25, 2021 23:11Leo ni Ijumaa tarehe 14 Rajab 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 26 Februari mwaka 2021.
-
Ulaya na JCPOA; sharti la Iran la kurudi kwenye Protokali ya Ziada
Feb 25, 2021 13:34Jibu na radiamali ya pande za Ulaya na Marekani kwa hatua ya Iran ya kusimamisha utekelezaji wa hiari wa Protokali ya Ziada ya Mkataba unaopiga marufuku uundaji na uenezaji silaha za nyuklia y NPT ni ya kutafakariwa na inaonesha muelekeo na mtazamo usio wa kimantiki wa pande hizo.
-
Rouhani: Kuzinduliwa Barabara Kuu ya Ghadir ni ishara ya kufeli mashinikizo ya adui
Feb 25, 2021 08:33Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kuzinduliwa Barabara Kuu ya Ghadir ni ishara ya wazi ya kufeli 'mashinikizo ya juu kabisa' ya adui dhidi ya Iran.
-
Alkhamisi, 25 Februari, 2021
Feb 25, 2021 00:11Leo ni Alkhamisi tarehe 13 Rajab 1442 Hijria sawa na Februari 25 mwaka 2021.