-
Borrell akiri kuwa Iran inafungamana na mapatano ya JCPOA na kwamba Ulaya ndio inayoyakiuka
Feb 24, 2021 08:08Baada ya kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) zimekuwa na utendajikazi hasi katika uga wa kulinda mapatano hayo na pia katika kutekeleza ahadi zao. Hii ni Katika hali ambayo Iran imetekeleza ahadi zake kikamilifu katika mapatano ya JCPOA. Hivi sasa afisa wa ngazi za juu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya amekiri ukweli huo.
-
Zarif: Iran italiunga mkono taifa linalodhulumiwa la Yemen
Feb 24, 2021 04:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Tehran inaunga mkono harakati yoyote ambayo itapelekea kuhitimishwa hujuma dhidi ya taifa la Iran.
-
Chanjo ya pili iliyotegenezwa Iran kufanyiwa majaribio ya mwanadamu wiki ijayo
Feb 24, 2021 04:34Chanjo ya pili ya Corona au COVID-19 iliyotengenezwa Iran ambayo inajulikana kama COV-Pars itaanza kufanyiwa majaribio ya mwanadamu wiki ijayo.
-
Zarif: UN haina faili safi katika suala la kutetea sheria za kimataifa
Feb 23, 2021 10:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, Umoja wa Mataifa hauna faili zuri katika kutetea sheria za kimataifa.
-
Raisi: Marekani na Wamagharibi zimekanyaga haki za binadamu katika vita vya kulazimishwa
Feb 23, 2021 04:22Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amesisitiza kuwa, Marekani na Wamagharibi walikanyaga haki za binadamu katika vita vya kulazimishwa vilivyoanzishwa na utawala wa Saddam dhidi ya Iran.
-
Iran imeanza kupunguza kiwango cha ushirikiano inaotoa kwa IAEA
Feb 23, 2021 01:31Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika taasisi za kimataifa huko Vienna, Austria, amesema leo Iran imeanza kutekeleza sheria ya "hatua za kistratijia kwa ajili ya kuondolewa vikwazo na kulinda haki za taifa la Iran." Kwa mujibu wa sheria hiyo, kuanzia Februari 23 Iran inasitisha utekelezwaji wa protokali ziada na hivyo Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA hautakuwa na idhini kamili ya kukagua vituo vyake vya nyuklia.
-
Chanjo ya corona ya Iran kuingia awamu ya pili ya majaribio kwa wanadamu
Feb 21, 2021 12:59Kundi la utafiti wa chanjo ya virusi vya corona ya Iran inalojulikana kwa jina la 'COVO-Iran Barakat' limetangaza kuwa chanjo hiyo iko tayari kwa ajili ya awamu ya pili ya majaribio kwa wanadamu.
-
Iran: Muhula wa kusimamisha 'Protokali ya Ziada' unakaelekea kumalizika
Feb 21, 2021 04:24Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa ameonya kuwa, iwapo Marekani haitachukua hatua yoyote ya kuliondolea vikwazo taifa hili kufikia kesho kutwa (Februar 23), basi Tehran itachukua hatua ya kusimamisha Protokali ya Ziada ya kupunguza kiwango cha uangalizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Admeri Sayyari: Adui anaogopa uwezo wa kujihami wa Iran
Feb 21, 2021 04:19Naibu Mratibu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema adui anatiwa hofu na uwezo mkubwa wa kiulinzi wa taifa hili akifahamu fika kuwa, iwapo atajaribu kufanya kosa lolote, basi atakabiliwa kwa jibu kali.
-
Hizbullah yasema itaendelea kusimama na Iran mkabala wa Marekani
Feb 21, 2021 04:12Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama itaendelea kusimama bega kwa bega na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kukabiliana na Marekani.