-
IAEA yatakiwa kuwa na uwazi kuhusu mpango wa nyuklia wa siri wa Saudi Arabia
Aug 08, 2020 22:56Kadhim Gharibabadi Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika taasisi za kimataifa mjini Vienna, Austria ametoa wito kwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) uwe na uwazi kuhusu mpango wa siri wa nyuklia wa Saudi Arabia.
-
Iran yapiga hatua kubwa katika kutengeneza vifaa na dawa za kukabiliana na corona
Aug 08, 2020 09:06Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Maendelo ya Teknolojia ya Masuala ya Afya ya Wizara ya Afya ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imepiga hatua kubwa na kwenda bega kwa bega na nchi zilizoendelea duniani kutokana na jitihada kubwa zinazofanywa na mkampuni ya sayansi ya kutengeneza zana na kuzalisha vifaa vya kuzuia, kubaini na kutibu virusi vya corona.
-
Kufeli siasa za Marekani mkabala na Iran; kuendelea kugonga mwamba ndoto za Trump
Aug 08, 2020 03:15Hakuna siku inayopita bila viongozi wa Marekani kutoa misimamo mikali dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, suala ambalo mara nyingi hudhihirisha mgongano wa misimamo yao na kupelekea baadhi ya vyombo vya nchi hiyo ya Magharibi kukiri kuwa hiyo ni ishara ya kushindwa siasa za Washington mkabala na Iran.
-
Mousavi: kubadilishwa "Brian Hook" hakutaleta mabadiliko katika siasa za Marekani
Aug 07, 2020 23:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa kubadilishwa Briah Hook aliyekuwa mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran hakutabadilisha chochote siasa za nchi hiyo.
-
Kujiuzulu Brian Hook; nembo ya kufeli wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran
Aug 07, 2020 08:19Serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ikitumia wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa, iliiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo ambavyo havijawahi kushuhudiwa.
-
Zarif: Silaha za Atomiki za Marekani na Israel ni tishio kwa eneo
Aug 06, 2020 21:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa kauli kwa mnasaba wa siku ambayo Marekani ilidondosha mabomu ya atomiki huko Hiroshima Japan wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia na kusema jinamizi la silaha za atomiki linapaswa kufika ukingoni.
-
Alkhamisi tarehe 6 Agosti mwaka 2020
Aug 06, 2020 00:00Leo ni Alkhamisi tarehe 16 Dhulhija mwaka 1441 Hijria sawa na Agosti 6 mwaka 2020.
-
Iran yamtia mbaroni kiongozi wa kundi la kigaidi la Tondar lenye makao yake nchini Marekani
Aug 01, 2020 09:17Vikosi vya Usalama vya Iran vimemtia mbaroni Jamshid Sharmahd, kiongozi wa kundi la kigaidi la Tondar lenye makao yake nchini Marekani.
-
Mtazamo wa muda mrefu wa Iran na Iraq kwa ushirikiano wa pande mbili
Aug 01, 2020 05:01Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ijumaa ya jana alifanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Iraq, Barham Saleh na kutilia mkazo udharura wa kustawishwa zaidi uhusiano na ushirikiano wa pande mbilii
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Vikwazo vya Marekani ni jinai dhidi ya taifa la Iran
Aug 01, 2020 02:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amevitaja vikwazo vya Marekani kuwa ni kitendo cha jinai dhidi ya taifa la Iran na ametoa wito wa kusimama kidete kukabiliana na adui huyo.