-
Grossi apongeza ushirikiano wa Iran na wakala wa IAEA
Sep 14, 2020 22:06Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) amepongeza ushirikiano mzuri wa Iran na taasisi hiyo ya kimataifa baada ya kufanyika kikao cha Bodi ya Magavana ya wakala huo.
-
Iran: Mgogoro wa Afghanistan hauwezi kutatuliwa kijeshi
Sep 14, 2020 03:28Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna ufumbuzi wa kijeshi katika mgogoro wa Afghanistan.
-
Biden: Trump 'ameifedhehesha' Marekani mbele ya Iran
Sep 13, 2020 22:39Joe Biden, mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrats amesema, siasa za Donald Trump kuhusu Iran zimefeli na zimeifedhehesha Marekani kwa kuifanya itengwe kimataifa.
-
Lavrov apinga tuhuma kwamba Russia inaingilia uchaguzi wa Marekani
Sep 13, 2020 03:04Uhusiano wa Russia na Marekani umekuwa na mivutano mikubwa baada ya kutokea mgogoro huko Ukraine mwaka 2014. Moja ya kadhia ambazo zimebadilika huko Marekani katika miaka ya karibuni na kuwa dhidi ya Moscow ni mjadala wa madai ya Russia kuingilia uchaguzi wa Marekani. Kwa kuzingatia kukaribia kufanyika uchaguzi wa Rais wa Marekani hivi sasa soko la tuhuma hizo limezidi kupamba moto.
-
Iran: Kuanzisha uhusiano na Israel ni fedheha na kujidhalilisha
Sep 12, 2020 07:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekosoa hatua ya kuanzishwa uhusiano rasmi wa kidiplomasia kati ya Bahrain na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, kitendo hicho ni cha fedheha na kudhalilisha.
-
Sisitizo la Troika ya Ulaya la kutokuwa na itibari jaribio la Marekani la kutaka kurejesha vikwazo dhidi ya Iran
Sep 12, 2020 02:54Baada ya kugonga mwamba hatua za kila aina ilizojaribu kuchukua Marekani ili kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran, Washington iliibua dai la kutaka kurejesha vikwazo vya kimataifa dhidi ya Tehran, ambavyo viliondolewa baada ya kufikiwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA;
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Tehran haijali nani atakua rais wa Marekani, Trump au Biden
Sep 11, 2020 06:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa si suala muhimu mwa Tehran kujua nani atakuwa rais wa Marekani na kuongeza kuwa, katika kipindi chote cha miongo minne iliyopita Marekani imekuwa ikiingilia chaguzi zinazofanyika katika nchi mblimbali duniani.
-
Wananchi wa Iran washiriki duru ya pili ya uchaguzi wa Bunge
Sep 11, 2020 02:38Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameelekea katika masanduku ya kupigia kura kushiriki duru ya pili ya uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran).
-
Ijumaa tarehe 11 Septemba 2020
Sep 10, 2020 22:06Leo ni Ijumaa tarehe 22 Muharram 1442 Hijria sawa na tarehe 11 Septemba 2020.
-
Ulimwengu wa Spoti, Sep 7
Sep 07, 2020 03:36Hujambo mpenzi mwanaspoti wa na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.