-
Zarif aipa Marekani somo la sheria baaada ya kubwagwa mara 3 katika UNSC
Aug 29, 2020 03:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kushangazwa kwake na kitendo cha Marekani cha kutishia tena kumwekea vikwazo mtu au taasisi yoyote inayoshirikiana na Iran, licha ya kupigwa mweleka mara tatu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Ufaransa yakaribisha mapatano kati ya Iran na wakala wa IAEA
Aug 28, 2020 03:19Ufaransa imekaribisha uamuzi wa Iran wa kuuruhusu Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kukagua maeneo mawili ya miradi yake ya nyuklia na kusema hiyo ni hatua kuelekea upande sahihi.
-
Harris: Sera za Trump dhidi ya Iran zimeifanya Marekani itengwe zaidi
Aug 27, 2020 21:53Makamu wa Joe Biden, mgombea wa chama cha Democratic katika uchaguzi wa rais wa mwezi Novemba mwaka huu nchini Marekani amesema sera za Rais Donald Trump dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimeifanya nchi hiyo itengwe zaidi wakati huu kuliko wakati wowote ule.
-
Taarifa ya pamoja ya Tehran; nia njema ya Iran na matarajio ya Tehran kwa IAEA
Aug 27, 2020 05:12Baada ya mazungumzo ya kina ya siku mbili ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) mjini Tehran, Iran na wakala huo wamefikia makubaliano kuhusu namna ya kutatua masuala mbalimbali kwa nia njema.
-
Grossi: Safari yangu Iran ilikuwa ya mafanikio
Aug 27, 2020 01:59Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ametangaza kuwa, tarehe iliyoafikiwa kati ya wakala huo na Iran kwa ajili ya IAEA kufanya uhakiki ipo karibu sana.
-
Alkhamisi tarehe 27 Agosti mwaka 2020
Aug 26, 2020 23:33Leo ni Alkhamisi tarehe 7 Muharram 1442 Hijria sawa na Agosti 27 mwaka 2020.
-
Kuendelea ushirikiano baina ya Iran na Venezuela na shukrani za Maduro kwa Tehran
Aug 24, 2020 22:58Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake kwa nchi hiyo katika kukabiliana na vikwazo vya mafuta vya Marekani dhidi ya Venezuela na kusisitiza kuwa, uzoefu wa Iran utaweza kuisaidia nchi yake kutia nguvu uwezo wake wake wa kujitawala.
-
Maulamaa wa Kisunni Iran walaani makubaliano ya Israel na UAE
Aug 24, 2020 07:31Wanazuoni wa Kisunni hapa nchini Iran wamekosoa vikali mapatano yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya pande mbili hizo.
-
Zarif: Safari ya Mkuu wa IAEA Iran haina uhusiano na 'Snapback Mechanism'
Aug 24, 2020 07:29Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema safari ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), Rafael Grossi hapa nchini haina mfungamano wowote na utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran unaofahamika kama 'Snapback Mechanism'.
-
Ulimwengu wa Michezo, Agosti 24
Aug 24, 2020 01:44Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa......Karibu.....