Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Araqchi: Kubakia hai JCPOA kutategemea jitihada za EU

    Araqchi: Kubakia hai JCPOA kutategemea jitihada za EU

    Nov 30, 2019 00:59

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema kuyanusuru na kuyabakisha hai makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kutategemea na jitihada za Umoja wa Ulaya na kutekeleza kwao majukumu yao kwa mujibu wa mapatano hayo.

  • Sisitizo la Russia kuhusu haki ya Iran ya kupunguza uwajibikaji wake katika JCPOA

    Sisitizo la Russia kuhusu haki ya Iran ya kupunguza uwajibikaji wake katika JCPOA

    Nov 29, 2019 03:27

    Hatua ya Iran kupunguza utekelezaji wa ahadi zake katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) imekabiliwa na ukosoaji mkali wa nchi za Ulaya katika kundi la 4+1 ambalo linazileta pamoja China, Russia, Ufaransa, Uingereza na Ujerumani. Ifahamike kuwa, Iran imechukua hatua hiyo baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya JCPOA na nchi za Ulaya kushindwa kuchukua hatua za kivitendo za kufidia Marekani kujiondoa katika mapatano hayo ya kimataifa ya nyuklia.

  • Mousavi: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusu JCPOA si ya uwajibikaji

    Mousavi: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusu JCPOA si ya uwajibikaji

    Nov 28, 2019 08:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu matamshi yasiyo na maana na ya kutojali ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa kusema: Matamshi hayo yanadhoofisha jitihada za hivi sasa za kutekeleza kikamilifu makubaliano ya JCPOA.

  • Shirika la FAO lasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran

    Shirika la FAO lasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran

    Nov 28, 2019 07:02

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesisitizia azma yake ya kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano kati yake na Iran.

  • Safari ya Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa nchini Imarati; tangazo la kuundwa muungano wa baharini

    Safari ya Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa nchini Imarati; tangazo la kuundwa muungano wa baharini

    Nov 26, 2019 22:11

    Ufaransa imekuwa na msimamo wa kindumakuwili kuhusiana na matukio ya hivi karibuni katika Ghuba ya Uajemi hususan masuala yanayohusiana na Iran; kwani sambamba na kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Paris inataka kuchukuliwa hatua dhidi ya kile kinachoelezwa kuwa, “hatua za Iran zinazohatarisha usalama wa eneo.”

  • Kulinda usalama katika jamii, kipaumbele cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kudhamini haki za binadamu

    Kulinda usalama katika jamii, kipaumbele cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kudhamini haki za binadamu

    Nov 25, 2019 09:19

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatetea haki za binadamu sambamba na kulinda usalama wa wananchi wake kwa sababu haki za binadamu na usalama ni nukta mbili za pamoja zinazotegemeana.

  • Hatua ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Iran

    Hatua ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Iran

    Nov 23, 2019 09:00

    Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, Marekani imeiwekea Iran vikwazo vikali ikiwa ni katika kutekeleza siasa zake za mashinikizo ya juu zaidi. Wakati huo huo ghasia zilizotokea hivi karibuni nchini Iran zimetumiwa na serikali ya Washington kuwawekea vikwazo vipya viongozi wa ngazi ya juu wa Iran ikiwa ni katika kuunga mkono ukosefu huo wa amani na wasababishaji wa ghasia hizo.

  • Waziri wa TEHAMA Iran:  Vikwazo vya Marekani haviwezi kuzuia maendeleo Iran

    Waziri wa TEHAMA Iran: Vikwazo vya Marekani haviwezi kuzuia maendeleo Iran

    Nov 23, 2019 08:16

    Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano nchini Iran mapema Jumamosi ametoa kauli baada ya jina lake kuwekwa katika orodha ya vikwazo vya Marekani na kusisitiza kuwa, Washington haiwezi kuzuia maendeleo na ustawi nchini Iran.

  • Ayatullah Khatami: Njama za maadui za kutikisa Mfumo zimegonga mwamba

    Ayatullah Khatami: Njama za maadui za kutikisa Mfumo zimegonga mwamba

    Nov 22, 2019 09:57

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameashiria njama za maadui za kutaka kutoa pigo kwa Mfumo wa Uongozi hapa nchini na kusema: "Hakuna mtu anayepinga watu kushiriki maandamano ya amani, lakini ni wazi maadui walitaka kushinikiza wimbi la ghasia na kuibua ukosefu wa usalama hapa nchini Iran."

  • Watawala wa Marekani waendelea kuunga mkono ghasia za karibuni nchini Iran

    Watawala wa Marekani waendelea kuunga mkono ghasia za karibuni nchini Iran

    Nov 22, 2019 09:33

    Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo imezidisha uhasama wake dhidi ya mfumo wa Kiislamu wa Iran na inatekeleza mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Tehran ili eti kuilazimisha ikubali matakwa yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS