Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • "Ni fedheha kwa Marekani kuwaunga mkono Wairani wanaofanya fujo"

    Nov 19, 2019 04:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ni fedheha kwa Marekani kutangaza wazi wazi kuwa inawaunga mkono wanaofanya fujo na kuzusha ghasia kwa kisingizio cha kulalamikia ongezeko la bei ya petroli hapa nchini.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu udharura wa kutekeleza maamuzi ya wakuu wa nchi na ulazima wa kuwa macho mbele ya wanaotaka kuvuruga utulivu na amani katika jamii

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu udharura wa kutekeleza maamuzi ya wakuu wa nchi na ulazima wa kuwa macho mbele ya wanaotaka kuvuruga utulivu na amani katika jamii

    Nov 19, 2019 02:25

    Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya miji ya Iran imeshuhudia ukosefu wa usalama kufuatia uamuzi wa viongozi wa mihimili mitatu ya dola kutekeleza mpango wa usimamizi bora wa mafuta ya petroli. Matukio hayo chungu ambayo yaliandamana na ghasia na utumiaji mabavu na hivyo kupelekea kuharibiwa au kuteketezwa baadhi ya maeneo ya umma pia yamepelekea watu kadhaa ya kupoteza maisha.

  • "Marekani inakusudia kuteka nyara maandamano ya amani ya Wairani"

    Nov 18, 2019 08:44

    Msemaji wa serikali ya Iran amesema Marekani inafanya juu chini ili kupotosha mkondo wa maandamano ya amani ya wananchi wa Iran wanaolalamikia ongezeko la bei ya petroli, lakini njama hizo zitagonga mwamba.

  • Rouhani: Wairani wana haki ya kuandamana bila kufanya fujo

    Rouhani: Wairani wana haki ya kuandamana bila kufanya fujo

    Nov 18, 2019 08:14

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema wananchi wa taifa hili wana haki ya kufanya maandamano, lakini maandamano ya amani ni tofauti na uibuaji wa fujo na hali ya mchafukoge.

  • Sayansi na Teknolojia 101

    Sayansi na Teknolojia 101

    Nov 18, 2019 04:37

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia mafanikio ya sayansi na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa utaweza kunufaikan na niliyokuandalia.

  • SPOTI, NOV 18

    SPOTI, NOV 18

    Nov 18, 2019 03:58

    Ufuatao ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kimataifa....

  • Iran yapinga azimio la haki za binadamu la UN dhidi yake

    Iran yapinga azimio la haki za binadamu la UN dhidi yake

    Nov 15, 2019 10:20

    Iran imepinga azimio dhidi yake kuhusu haki za binadamu ambalo limetolewa na Umoja wa Mataifa na kusema limetokana na utashi wa kisiasa, ni mfano wa unafiki na nchi za Magharibi kutumia vibaya mfumo wa Umoja wa Mataifa kulenga nchi huru na zinazojitegemea.

  • Iran, muungaji mkono halisi wa Wapalestina katika kukabiliana na Israel

    Iran, muungaji mkono halisi wa Wapalestina katika kukabiliana na Israel

    Nov 14, 2019 21:53

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko mstari wa mbele katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika kuwatetea watu wa Palestina.

  • UN yaitaka US iiondolee Iran vikwazo kama ilivyoagizwa na ICJ

    UN yaitaka US iiondolee Iran vikwazo kama ilivyoagizwa na ICJ

    Nov 13, 2019 23:13

    Umoja wa Mataifa umeitaka Marekani iheshimu agizo la Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu la kuiondolea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vinavyohusiana na bidhaa za kibinadamu.

  • Zarif: EU haijachukua hatua yoyote ya maana ya kulinda JCPOA

    Zarif: EU haijachukua hatua yoyote ya maana ya kulinda JCPOA

    Nov 12, 2019 04:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezikosoa nchi za Ulaya kwa kuakhirisha ahadi zao na kufeli kufungamana na mapatano ya nyuklia ya JCPOA, huku zikiitaka Tehran ifungamane kikamilifu na makubaliano hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS