Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Larijani: Marekani ndiye mchochezi mkuu wa uhasama kati ya Iran na Saudia

    Larijani: Marekani ndiye mchochezi mkuu wa uhasama kati ya Iran na Saudia

    Oct 16, 2019 01:06

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haina tatizo lolote wala haipingi mpango wowote wa kupatiwa ufumbuzi mikwaruzano na uhasama uliopo kati yake na Saudi Arabia, lakini Marekani ndiyo kizingiti kikuu katika kuafikiwa jambo hilo.

  • Athari za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran zafika katika fukwe za Ulaya

    Athari za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran zafika katika fukwe za Ulaya

    Oct 16, 2019 01:04

    Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran vimeanza kuziathiri nchi za Ulaya kwa njia isiyo ya moja kwa moja.

  • Larijani: Chaguo la kijeshi haliwezi kusuluhisha mgogoro wa Syria

    Larijani: Chaguo la kijeshi haliwezi kusuluhisha mgogoro wa Syria

    Oct 14, 2019 04:31

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema mgogoro wa Syria hauwezi kupatiwa ufumbuzi kupitia uingiliaji wa kijeshi.

  • WHO: Nchi za dunia ziige Iran katika kutoa huduma za afya

    WHO: Nchi za dunia ziige Iran katika kutoa huduma za afya

    Oct 14, 2019 04:25

    Shirika la Afya Duniani WHO limeziasa nchi nyingine duniani kuwa na mfumo mzuri wa tiba na huduma za afya kama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mwanasayansi wa Iran anashikiliwa Marekani kinyume cha sheria

    Mwanasayansi wa Iran anashikiliwa Marekani kinyume cha sheria

    Oct 13, 2019 23:25

    Mwanasayansi Muirani, Profesa Masoud Suleimani, anashikiliwa nchini Marekani kwa muda wa mwaka mmoja sasa kinyume cha sheria.

  • Rais Putin apinga madai ya kuhusika Iran katika hujuma dhidi ya Aramco, Saudia

    Rais Putin apinga madai ya kuhusika Iran katika hujuma dhidi ya Aramco, Saudia

    Oct 13, 2019 23:25

    Rais Vladimir Putin wa Russia amepinga kutuhumiwa Iran kuwa ilihusika katika shambulizi dhidi ya kituo kikubwa cha kusafisha mafuta cha Aramco nchini Saudi Arabia.

  • Putin: Nchi za Kiarabu ziheshimu Iran na maslahi yake katika eneo

    Putin: Nchi za Kiarabu ziheshimu Iran na maslahi yake katika eneo

    Oct 13, 2019 04:39

    Rais Vladimir Putin wa Russia ameziasa nchi za Kiarabu na nyinginezo katika Ghuba ya Uajemi na eneo la Asia Magharibi kuiheshimu Iran na kuitambua kama taifa lenye uwezo mkubwa katika eneo.

  • Zarif: Iran inapinga silaha za nyuklia kwa kuwa zimeharamishwa na Uislamu

    Zarif: Iran inapinga silaha za nyuklia kwa kuwa zimeharamishwa na Uislamu

    Oct 13, 2019 04:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inapinga vikali silaha za nyuklia kwa kuwa matumizi yake yameharamishwa na sheria za Uislamu.

  • Salami: Adui hana nguvu yoyote mbele ya taifa la Iran

    Salami: Adui hana nguvu yoyote mbele ya taifa la Iran

    Oct 12, 2019 04:33

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa maadui hawana dira wala nguvu yoyote mkabala wa taifa imara la Iran.

  • Kukosolewa ukwamishaji wa Marekani wa safari za wawakilishi wa nchi mbalimbali kuelekea Umoja wa Mataifa

    Kukosolewa ukwamishaji wa Marekani wa safari za wawakilishi wa nchi mbalimbali kuelekea Umoja wa Mataifa

    Oct 10, 2019 03:02

    Kwa kuzingatia kuwa, makao makuu ya Umoja wa Mataifa yapo mjini New York, siku zote Marekani imekuwa ikilitumia suala la kutoa visa kwa jumbe na washiriki wa mikutano na vikao vya Umoja wa Mataifa kama wenzo wa kuzishinikiza nchi zinazoipinga na zisizokubaliana na siasa zake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS