-
Rais Rouhani: Njama zote za Marekani dhidi ya Iran zimegonga mwamba
Jul 14, 2019 22:37Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika kipindi cha miezi 14 iliyopita, Marekani imetekeleza vikwazo vikali kabisa dhidi ya taifa la Iran, hata hivyo imeshindwa katika nyanja zote iwe ni katika uga wa kijamii, kisiasa na kadhalika.
-
Sheikh Naim Qassim: Mataifa ya Mashariki ya Kati ni wadaiwa wa uungaji mkono wa Iran
Jul 14, 2019 21:58Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mataifa ya eneo la Mashariki ya Kati ni wadaiwa wa himaya na uungaji mkono wa kila upande wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Hakuna mazungumzo yoyote baina yetu na Marekani
Jul 14, 2019 06:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haifanyi mazungumzo ya kiwango chochote kile na viongozi wa Marekani.
-
Rouhani: Bodi ya IAEA imepuuza njama za Marekani dhidi ya Iran
Jul 14, 2019 03:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya kuendelea kutengwa Marekani katika uga wa kimataifa na kusema kuwa, mbali na nchi moja au mbili, nchi zote wanachama wa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) katika kikao chao cha hivi karibuni zilipuuza njama za Marekani dhidi ya Iran.
-
Zarif: Liwe liwalo, Iran itaendelea kuuza mafuta yake nje
Jul 14, 2019 02:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo haramu vya Marekani dhidi ya taifa hili na kusisitiza kuwa, Tehran itaendelea kuyauza mafuta yake nje ya nchi bila kubabaishwa na chochote.
-
El Baradei akosoa siasa za Donald Trump dhidi ya Iran
Jul 13, 2019 06:41Mkurugenzi mkuu wa zamani wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekosoa vikali hatua ya serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na vilevile sera za nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mwanasiasa nchini Misri: Nchi za Kiarabu zifanye mazungumzo na Iran na Uturuki
Jul 13, 2019 02:43Mwanadiplomasia na mgombea wa zamani wa uchaguzi wa rais nchini Misri, Abdullah al-Ashaal amezitaka nchi za Kiarabu zifanye mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki.
-
Iran: Israel isitutishe na F-35, jibu letu kwa chokochoko zake litakuwa kali
Jul 12, 2019 11:10Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya vitisho ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, jibu la taifa hili dhidi ya chokochoko za maadui litakuwa kali na la kuumiza.
-
Kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran na utegemezi wa Uingereza kwa Marekani
Jul 12, 2019 09:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran katika lango bahari la Jabal Tariq (Gibraltar) ni kielelezo cha utegemezi wa Uingereza kwa Marekani.
-
Marekani yalegeza msimamo kuhusiana na vikwazo dhidi ya Zarif
Jul 12, 2019 03:03Vyombo vya kuaminika vinasema kuwa serikali ya Marekani imeamua kulegeza msimamo na kutomuwekea vikwazo kwa sasa, Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.