Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-28

    Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-28

    Jul 04, 2019 07:01

    Katika kipindi kilichopita tuliendelea kuzungumzia umuhimu wa kipindi cha ujana na nafasi yake athirifu katika kuilea nafsi na kujirekebisha vijana. Kadhalika tulibainisha kwamba Imam Khomeini (MA) aliwapa usia vijana akiwataka kutumia vizuri neena ya kipindi cha ujana katika kunufaika vizuri na matukufu ya duniani na Akhera.

  • Russia yaunga mkono mazungumzo baina ya Iran na nchi za Kiarabu

    Russia yaunga mkono mazungumzo baina ya Iran na nchi za Kiarabu

    Jul 04, 2019 02:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, anaunga mkono na kushajiisha mazungumzo baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi za Kiarabu.

  • Radiamali ya Uingereza kwa hatua ya Iran ya kuzidisha akiba ya urani iliyorutubishwa

    Radiamali ya Uingereza kwa hatua ya Iran ya kuzidisha akiba ya urani iliyorutubishwa

    Jul 02, 2019 03:47

    Jeremy Hunt Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amedai kuwa nchi hiyo imedhamiria kusaidia utekelezaji mzuri wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-27

    Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-27

    Jul 01, 2019 14:31

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo wakati huu. Ninakukaribisheni tena kusikiliza kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomeini kinachokujieni kila wiki, siku na saa kama hii, kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hii kiwa ni sehemu ya 27. 

  • Jeshi la Iran liko tayari kumfanya mvamizi alipe gharama kubwa

    Jeshi la Iran liko tayari kumfanya mvamizi alipe gharama kubwa

    Jul 01, 2019 08:19

    Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema vikosi vya jeshi la Iran havitaki vita lakini daima viko imara kulihami na kulilinda taifa lao kwa gharama yoyote ile.

  • Ulimwengu wa Michezo, Julai Mosi

    Ulimwengu wa Michezo, Julai Mosi

    Jul 01, 2019 02:37

    Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kuanzia Michuano ya AFCON hadi Kombe la Dunia kwa Wanawake....

  • Uungaji mkono wa moja kwa moja wa nchi saba za Ulaya kwa JCPOA na kupigwa hatua ya kivitendo

    Uungaji mkono wa moja kwa moja wa nchi saba za Ulaya kwa JCPOA na kupigwa hatua ya kivitendo

    Jun 30, 2019 15:29

    Umoja wa Ulaya na troika ya Ulaya inayozijumuisha nchi za Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kama wanachama wa kundi la 4+1, mara kwa mara zimekuwa zikitangaza uungaji mkono wao kwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Uungaji mkono wa moja kwa moja wa nchi saba za Ulaya kwa JCPOA na kupigwa hatua ya kivitendo

    Uungaji mkono wa moja kwa moja wa nchi saba za Ulaya kwa JCPOA na kupigwa hatua ya kivitendo

    Jun 30, 2019 06:03

    Umoja wa Ulaya na troika ya Ulaya inayozijumuisha nchi za Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kama wanachama wa kundi la 4+1, mara kwa mara zimekuwa zikitangaza uungaji mkono wao kwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Balozi wa Iran UN: INSTEX bila mtaji ni sawa na gari zuri bila mafuta

    Balozi wa Iran UN: INSTEX bila mtaji ni sawa na gari zuri bila mafuta

    Jun 30, 2019 03:09

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema mfumo maalumu wa mabadilishano ya fedha kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya (INSTEX) ni sawa na gari zuri ambalo halina mafuta.

  • Kikao cha Vienna na 'JCPOA'; udharura wa kuwa huru Ulaya kivitendo

    Kikao cha Vienna na 'JCPOA'; udharura wa kuwa huru Ulaya kivitendo

    Jun 29, 2019 02:17

    Sambamba na kukaribia kumalizika kwa muhula wa siku 60 uliotolewa na Iran kwa nchi za Ulaya ili zichukue hatua za kivitendo zenye lengo la kulinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA, udiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unafuatilia maslahi yake ya kitaifa bila kujali mashinikizo ya kisiasa na kiuchumi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS