Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Ripoti mpya ya IAEA kuhusu Iran; sisitizo la kufungumana Tehran na makubaliano ya JCPOA

    Ripoti mpya ya IAEA kuhusu Iran; sisitizo la kufungumana Tehran na makubaliano ya JCPOA

    Jun 01, 2019 22:04

    Licha ya tuhuma zinazotolewa na Marekani kwamba Iran haijatekeleza majukumu wala kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na hata imeituhumu nchi hiyo kuwa inafanya juhudi za kuunda silaha za nyuklia, lakini ripoti ya karibuni ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) inaeleza kuwa, Tehran inaendelea kuheshimu na kutekeleza majukumu yake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • China yapuuzilia mbali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    China yapuuzilia mbali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Jun 01, 2019 03:21

    Serikali ya China imepuuzilia mbali vikwazo vya mafuta vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Tehran na imeanza kuagiza shehena ya mafuta yake kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Juhudi za Marekani za kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta; ukweli au madai tu?!

    Juhudi za Marekani za kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta; ukweli au madai tu?!

    May 31, 2019 23:52

    Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuiondoa nchi yake katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA, alitangaza kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo katika hatua mbili, yaani vya mwezi Agosti na Novemba mwaka jana wa 2018.

  • Katika Siku ya Quds, Wairani wasisitiza kuhusu kuunga mkono ukombozi wa Wapalestina

    Katika Siku ya Quds, Wairani wasisitiza kuhusu kuunga mkono ukombozi wa Wapalestina

    May 31, 2019 06:29

    Wananchi wa Iran walioshiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds wametoa taarifa ya mwisho na kusisitiza kuwa lengo la ulimwengu wa Kiislamu hivi sasa ni ukombozi wa Quds Tukufu, kukombolewa taifa madhlumu na lisilo na ulinzi la Palestina kutoka katika makucha ya Wazayuni maghasibu na jitihada za kuondoa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ramani ya dunia.

  • Viongozi wa Iran wahimiza kuungwa mkono malengo matukufu ya taifa la Palestina

    Viongozi wa Iran wahimiza kuungwa mkono malengo matukufu ya taifa la Palestina

    May 31, 2019 05:35

    Viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamehimiza mno suala la kuungwa mkono malengo matakatifu ya taifa la Palestina sambamba na Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo imeadhimishwa leo na mamilioni ya wapenda haki kote ulimwenguni.

  • Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yafanyika katika Iran ya Kiislamu

    Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yafanyika katika Iran ya Kiislamu

    May 31, 2019 03:32

    Maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds yamefanyika kote katika Iran ya Kiislamu hii leo tarehe 31 Mei 2019 Miladia sawa na Ramadhani 25 mwaka 1440 Hijria ambapo wananchi wa matabaka mbalimbali wameonyesha hasira zao dhidi ya jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Kizayuni dhidi ya raia wa Palestina.

  • Madai ya uwongo na yasiyo na msingi wa Mfalme wa Saudi Arabia dhidi ya Iran

    Madai ya uwongo na yasiyo na msingi wa Mfalme wa Saudi Arabia dhidi ya Iran

    May 31, 2019 03:21

    Mfalme wa Saudi Arabia ameibua madai ya uwongo na yasiyo na msingi dhidi ya Iran na kuitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kukabiliana na kile alichokitaja kuwa vitisho vya Iran.

  • Siku ya Quds; siku ya kupambana na ubeberu, kutangazwa kushindwa 'Muamala wa Karne' na kuimarishwa malengo ya Wapalestina

    Siku ya Quds; siku ya kupambana na ubeberu, kutangazwa kushindwa 'Muamala wa Karne' na kuimarishwa malengo ya Wapalestina

    May 31, 2019 03:18

    Leo Ijumaa, tarehe 25 ya mwezi mtukufu wa Ramadhani sawa na tarehe 31 Mei ni Siku ya Kimataifa ya Quds ambapo katika siku hii, Waislamu na wapigania haki na uhuru katika pembe tofauti za dunia, wanafanya maandamano ya kupinga jinai za utawala haramu na ghasibu wa Israel.

  • Ijumaa, Mei 31, 2019

    Ijumaa, Mei 31, 2019

    May 31, 2019 03:06

    Leo ni Ijumaa tarehe 25 Ramadhani 1440 Hijria inayosadifiana na tarehe Mei 31, 2019 Milaadia

  • Baqeri: Maandamano ya Quds yatasambaratisha njozi za Marekani kuhusu Palestina

    Baqeri: Maandamano ya Quds yatasambaratisha njozi za Marekani kuhusu Palestina

    May 31, 2019 01:28

    Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maandamano makubwa yatakayoshuhudiwa leo Ijumaa katika Siku ya Kimataifa ya Quds yatasambaratisha njozi na ndoto za alinacha za Marekani dhidi ya taifa la Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS