-
Ndege ya misaada ya kibinadamu ya Ujerumani yawasili nchini Iran
Apr 05, 2019 02:51Balozi wa Ujerumaini nchini Iran ametangaza habari ya kuwasili ndege ya nchi hiyo yenye misaada ya kibinadamu kwa ajili ya wahanga wa mafuriko nchini Iran.
-
Zarif: Pompeo maliza kwanza matatizo ya ndani ya Marekani kabla ya kuingilia mambo ya wengine
Apr 04, 2019 23:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran watatumia vizuri mshikamano na umoja wao katika kukabiliana vizuri na matatizo yaliyosababishwa na mafuriko ya hivi karibuni humu nchini.
-
JCPOA ya staili ya Ulaya ya kumridhisha na kumhudumia Trump
Apr 04, 2019 03:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, madai ya nchi tatu zinazounda Troika ya Ulaya dhidi ya mpango wa makombora wa Iran ni aina mojawapo ya kukwamisha mambo na kufanya yale yanayoipendeza na kuiridhisha Marekani.
-
Zarif: Ulaya haina uwezo wa kufanya lolote mbele ya Marekani
Apr 03, 2019 23:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Nchi za Ulaya hazina uwezo wa kufanya lolote mbele ya Marekani.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Kazi ya msingi sasa ni kuwafidia waathirika wa mafuriko na ukarabati
Apr 03, 2019 11:05Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewasisitizia wakuu wa nchi kuwa kazi muhimu sasa ni ukarabati na ujenzi mpya wa maeneo yaliyoharibiwa katika mafuriko yalioyokumba maeneo mengi ya Iran na pia kuwalipa fidia waathirika.
-
UN yataka misaada ya kibinadamu iondolewe katika vikwazo dhidi ya Iran
Apr 03, 2019 10:25Mkuu wa Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa sanjari na kueleza kusikitishwa kwake na taathira hasi za mafuriko yaliyoua makumi ya watu nchini Iran, ametoa mwito wa kuondolewa misaada ya kibinadamu katika orodha ya vikwazo dhidi ya taifa hili.
-
IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA
Apr 03, 2019 10:20Kwa mara nyingine tena Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amethibitisha kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefungamana na kutekeleza majukumu yake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Iran yataka kuchukuliwe hatua za kukabiliana na waenezaji wa fikra ya ukufurishaji
Apr 03, 2019 03:01Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuchukuliwa msimamo mmoja na madhubuti wa dunia dhidi ya waenezaji wa fikra za ukufurishaji katika maeneo mbalimbali ya ulimwengu.
-
Kiongozi Muadhamu: Hatua za lazima zichukuliwe ili kutatua matatizo ya waathiriwa mafuriko ya Iran
Apr 02, 2019 22:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, ufikishaji huduma, kuweko uratibu katika sekta mbalimbali, hamasa ya kusaidia na moyo wa Kibasiji wa wananchi katika matukio ya mafuriko ya hivi karibuni hapa nchini ni mambo yaliyoonekana wazi katika mikoa kadhaa, lakini bado kuna haja ya kuchukuliwa hatua za lazima na kuendelezwa umakini mkubwa zaidi ili kuhakikisha kwamba, matatizo na machungu ya waathiriwa wa mafuriko hayo yanaondolewa.
-
Rais Barham Salih wa Iraq: Mfumo wowote wa eneo hili hauwezi kuipuuza Iran
Apr 02, 2019 20:47Rais Barham Salih wa Iraq amesema kuwa, hakuna mfumo wowote mpya katika eneo la Asia Magharibi unaoweza kuipuuza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kama ambavyo hauwezi pia kufumbia macho umuhimu wa taifa la Iraq.