-
Qassemi: Marekani imezuia misaada ya kibinadamu kuwafikia wahanga wa mafuriko nchini Iran
Apr 02, 2019 09:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Bahram Qassemi, amesema kuwa Marekani imefunga akaunti za Shirika la Hilali Nyekundu hatua ambayo ina maana ya kufunga mlango wa kutumwa misaada ya nchi tofauti za dunia kwa waathirika wa mafuriko yaliyoyakumba maeneo mbalimbali ya Iran.
-
Kutosalimu amri katu taifa la Iran mbele ya mashinikizo ya Marekani
Apr 01, 2019 20:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radiamali kwa hatua zilizo dhidi ya Iran za Rais Donald Trump na kusema kuwa, Wairani katu hatawasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani.
-
IRGC: Kufuata miongozo ya Kiongozi Muadhamu kunatoa dhamana ya ufanisi na maendeleo Iran
Apr 01, 2019 10:45Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limesema kufuata miongozo ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika awamu ya pili ya Mapinduzi kutatoa dhamana ya kupatikana mafanikio na maendeleo hapa nchini.
-
Zarif: Iran kamwe haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani
Mar 31, 2019 22:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua dhidi ya Iran zinazochukuliwa na Marekani na kusema: "Wairani kamwe hawatasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani."
-
Wairaq watangaza mshikamano na waathiriwa wa mafuriko nchini Iran
Mar 31, 2019 08:45Kufuatia mafuriko yaliyoikumba mikoa kadhaa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, makundi tofauti ya Wairaq yametangaza mshikamano wao na waathirika wa mafuriko hayo kwa kuchukua hatua ya kukusanya misaada ya fedha na isiyo ya fedha kwa ajili ya watu hao.
-
Ulimwengu wa Michezo, Machi 31
Mar 31, 2019 03:33Hujambo mpenzi msikilizaji wa na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa…..karibu.....
-
Idadi ya waliopoteza maisha katika mafuriko Iran yapindukia 40
Mar 31, 2019 03:32Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha katika maeneo kadhaa ya Iran imeongezeka na kufikia 42.
-
Vikwazo vya dawa dhidi ya Iran; Mahakama ya ICJ yaitaka Marekani ijieleze
Mar 31, 2019 03:09Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imesema, imeipeleka barua serikali ya Marekani kuitaka iondoe vikwazo ilivyoiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Taasisi ya Brookings ya Marekani: Muqawama wa Iran umeichakaza timu ya Trump
Mar 30, 2019 22:00Taasisi ya utafiti ya Brookings nchini Marekani imekiri kuwa muelekeo unaofuatwa hivi sasa na timu ya utawala wa Donald Trump kwa madhumuni ya kuipigisha magoti Iran ikidhi matakwa ya Washington haujafanikiwa.
-
Jumapili, Machi 31, 2019
Mar 30, 2019 21:56Leo ni Jumapili tarehe 24 Rajab 1440 Hijiria, mwafaka na tarehe 31 Machi 2019 Milaadia.