-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-5
Sep 09, 2018 09:57Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tano ya kipindi hiki kipya cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-4
Sep 09, 2018 09:53Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya nne ya kipindi hiki kipya cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-2
Sep 09, 2018 09:42Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya pili ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomeini (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-1
Sep 09, 2018 09:38Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya kwanza ya kipindi hiki kipya cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Iran: Marekani inayatumia makundi ya kigaidi kufikia malengo yake
Sep 09, 2018 03:19Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inatumia njia zote kukiwemo kuyatumia makundi ya kigaidi kufikia malengo yake pasina kujali madhara kwa nchi nyingine.
-
Mazungumzo ya Waziri wa Ulinzi wa Iran nchini China na sisitizo la ushirikiano zaidi wa kijeshi na kiuchumi
Sep 09, 2018 03:00Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Brigedia Jenerali Amir Hatami ametembelea China kufuatia mwaliko wa waziri mwenzake wa nchi hiyo kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kijeshi na kiuchumi baina ya China na Iran.
-
IMO yaipongeza Iran kwa kulinda usalama baharini na kukabiliana na maharamia
Sep 08, 2018 10:53Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Masuala ya Bahari, IMO, Kitack Lim, amepongeza nafasi ya Iran katika kukabiliana na maharamia na kulinda usalama wa maji ya Bahari ya Hindi na Ghuba ya Aden.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Marekani inauvutia mfumo wa kimataifa kuelekea kwenye mizozo
Sep 08, 2018 02:52Brigedia Jenerali Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa, Marekani inauvutia mfumo wa kimataifa katika mzozo, ambapo katika kufikia malengo yake, inatumia nyenzo zote yakiwemo makundi ya kigaidi.
-
Mkutano wa pande tatu Tehran; azma ya kweli ya kuangamiza ugaidi katika mji wa Idlib Syria
Sep 08, 2018 02:27Mkutano wa Marais wa Iran, Russia na Uturuki umefanyika hapa mjini Tehran ajenda kuu ikiwa ni matukio ya Syria.
-
Taarifa ya pamoja ya marais wa Iran, Russia na Uturuki kuhusu Syria katika kikao cha Tehran
Sep 07, 2018 10:37Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia, na Uturuki wametoa taarifa ya pamoja baada ya mkutano wao wa pande tatu mjini Tehran ambapo wamesisitiza kuhusu msimamo wao wa kudumishwa uhuru, mamlaka ya kujitawala na kulinda mipaka yote ya Syria.