Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Jumatatu tarehe 11 Juni 2018

    Jumatatu tarehe 11 Juni 2018

    Jun 10, 2018 22:13

    Leo ni Jumatatu tarehe 26 Ramadhani 1439 Hijria sawa na 11 Juni 2018

  • Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kuungana kulihami taifa linalodhulumiwa la Palestina

    Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kuungana kulihami taifa linalodhulumiwa la Palestina

    Jun 10, 2018 03:23

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uturuki amesema, nchi za Waislamu na mataifa huru duniani yanapaswa kuwa kitu kimoja katika kulihami na kuliunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina.

  • Safari ya Rais Rouhani nchini China, fursa ya kuimarisha uhusiano wa kistratijia wa pande mbili na pande kadhaa

    Safari ya Rais Rouhani nchini China, fursa ya kuimarisha uhusiano wa kistratijia wa pande mbili na pande kadhaa

    Jun 10, 2018 02:39

    Hassan Rouhani Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yuko nchini China kushriki katika kikao cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirkiano ya Shanghai (SCO)

  • Mabunge ya Iran na Kodivaa kuimarisha uhusiano baina yao

    Mabunge ya Iran na Kodivaa kuimarisha uhusiano baina yao

    Jun 09, 2018 12:40

    Balozi wa Iran nchini Ivory Coast ameonana na Spika wa Bunge la Senate la nchi hiyo na kujadiliana naye njia za kuimarishwa uhusiano baina ya mabunge ya nchi hizi mbili.

  • Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni  sawa na 'ugaidi wa kiuchumi'

    Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni sawa na 'ugaidi wa kiuchumi'

    Jun 09, 2018 06:44

    Kurejesha vikwazo vya miaka ya nyuma na wakati huo huo kuongeza vikwazo vipya kwa lengo la kushadidisha vita vya kiuchumi dhidi ya Iran ni kati ya sera zisizobadilika za Marekani. Sera hizi si jingine ila ni ugaidi wa kiuchumi.

  • Dunia yaadhimisha maandamano ya kimataifa ya Siku ya Quds katika kuwaunga mkono Wapalestina

    Dunia yaadhimisha maandamano ya kimataifa ya Siku ya Quds katika kuwaunga mkono Wapalestina

    Jun 08, 2018 09:32

    Walimwengu wameitikia mwito wa Siku ya Kimataifa ya Quds uliotolewa na Imamu Khomeini (MA) Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuwaunga mkono raia madhlumu wa Palestina.

  • Velayati: Muqawama wa Palestina umeidhoofisha mno Israel

    Velayati: Muqawama wa Palestina umeidhoofisha mno Israel

    Jun 08, 2018 02:57

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema harakati za muqawama wa Palestina zimeudhoofisha utawala wa Kizayuni, na kuandaa mazingira ya kupata ushindi mkubwa dhidi ya Tel Aviv.

  • Madola matatu makuu ya Ulaya yaitahadharisha Marekani na matokeo hasi endapo Iran itajitoa kwenye JCPOA

    Madola matatu makuu ya Ulaya yaitahadharisha Marekani na matokeo hasi endapo Iran itajitoa kwenye JCPOA

    Jun 06, 2018 22:48

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa na wa Fedha wa Ujerumani, Uingereza na Ufaransa wamewaandikia barua mawaziri wenzao wa Marekani wakieleza wasiwasi walionao juu ya uwezekano wa Iran kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia na matokeo hasi ya hatua hiyo.

  • Hatua shtukizi na za kivitendo za Iran za kuleta mlingano katika JCPOA

    Hatua shtukizi na za kivitendo za Iran za kuleta mlingano katika JCPOA

    Jun 06, 2018 09:23

    Uamuzi mpya uliotangazwa na Iran wa kustawisha shughuli zake za nyuklia kufuatia agizo lililotolewa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu umeonyesha kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiwezi kutiwa shemere na kuburuzwa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, bali hatamu za kuamua nini la kufanya ziko mikononi mwake.

  • EU: Hatua ya Iran ya kuimarisha urutubishaji urani haikiuki JCPOA

    EU: Hatua ya Iran ya kuimarisha urutubishaji urani haikiuki JCPOA

    Jun 06, 2018 03:03

    Umoja wa Ulaya umesema tathmini yake ya mwanzo inaashiria kuwa mpango wa Iran wa kuimarisha urutubishaji urani hadi kufikia kiwango cha SWU 190,000 haukinzani na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS