-
Madola matatu makuu ya Ulaya yaitahadharisha Marekani na matokeo hasi endapo Iran itajitoa kwenye JCPOA
Jun 06, 2018 22:48Mawaziri wa Mambo ya Nje wa na wa Fedha wa Ujerumani, Uingereza na Ufaransa wamewaandikia barua mawaziri wenzao wa Marekani wakieleza wasiwasi walionao juu ya uwezekano wa Iran kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia na matokeo hasi ya hatua hiyo.
-
Hatua shtukizi na za kivitendo za Iran za kuleta mlingano katika JCPOA
Jun 06, 2018 09:23Uamuzi mpya uliotangazwa na Iran wa kustawisha shughuli zake za nyuklia kufuatia agizo lililotolewa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu umeonyesha kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiwezi kutiwa shemere na kuburuzwa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, bali hatamu za kuamua nini la kufanya ziko mikononi mwake.
-
EU: Hatua ya Iran ya kuimarisha urutubishaji urani haikiuki JCPOA
Jun 06, 2018 03:03Umoja wa Ulaya umesema tathmini yake ya mwanzo inaashiria kuwa mpango wa Iran wa kuimarisha urutubishaji urani hadi kufikia kiwango cha SWU 190,000 haukinzani na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Amano asisitiza tena kuwa Iran imeshikamana kikamilifu na mapatano ya JCPOA
Jun 04, 2018 22:37Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, kwa mujibu wa ripoti ya karibuni kabisa ya wakala huo, Iran imeshikamana kikamilifu na mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Kiongozi Muadhamu: Ndoto ya maadui kuhusu JCPOA kamwe haitoaguliwa
Jun 04, 2018 12:13Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ndoto waliyo nayo maadui kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA kamwe haitotimia. Amesema hayo leo katika kumbukumbu za mwaka wa 29 wa kufariki dunia Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na huku akigusia mazungumzo ya nchi za Ulaya na Iran kuhusu mapatano ya hayo ya nyuklia amesema, taifa na serikali ya Iran haiwezi kukubaliana na vikwazo vya nyuklia na kwamba njozi ya maadui kuhusu JCPOA haitaaguliwa kwamwe.
-
Iran na Kongo DR, wahanga wa propaganda za vyombo vya habari
Jun 04, 2018 10:15Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Vyombo vya Habari katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (ACP) ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kupambana na propaganda za maadui dhidi ya nchi mbili hizo.
-
Kufanyika amali za Lelatul Qadr nchini Iran
Jun 04, 2018 03:23Amali za usiku mtukufu wa kwanza wa Lelatul Qadr zimefanyika katika pembe zote za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo umati mkubwa wa waumini umeshiriki ibada za usiku huu mtukufu.
-
Mkuu wa shirika la IRIB: Vikwazo vya Marekani dhidi ya shirika hili vimeonyesha nchi hiyo inaelekea kusambaratika
Jun 04, 2018 01:18Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Abdulali Ali-Asgari ameelezea vikwazo vya Marekani dhidi ya shirika hili na kusema kuwa, hatua hiyo inabainisha kukaribia kusambaratika nchi hiyo ya kibeberu.
-
Rais Rouhani apongeza umoja wa kidini nchini Iran
Jun 03, 2018 03:37Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza umoja miongoni mwa dini na madhehebu mbalimbali hapa nchini akisisitiza kuwa serikali yake imeazimia kulinda haki za jamii zote.
-
Meja Jenerali Baqeri: Jibu la Jeshi la Iran kwa chokochoko za adui litakuwa zito na la haraka
Jun 03, 2018 03:03Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema tishio au hatua yoyote ya kujaribu kuivamia Iran itapata jibu kali na la haraka mno.