Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • NATO: Hatutaipa himaya Israel iwapo itashambuliwa na Iran

    NATO: Hatutaipa himaya Israel iwapo itashambuliwa na Iran

    Jun 03, 2018 02:54

    Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umesema hautaupa himaya utawala haramu wa Israel iwapo utashambuliwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Jumapili, Juni 3, 2018

    Jumapili, Juni 3, 2018

    Jun 02, 2018 22:08

    Leo ni Jumapili tarehe 18 Ramadhan mwaka 1439 Hijiria, inayosadifiana na tarehe 3 Juni 2018 Miladia.

  • Walid Muallem: Madai ya Israel kwamba Iran ina kambi za kijeshi nchini Syria, ni uongo mkubwa

    Walid Muallem: Madai ya Israel kwamba Iran ina kambi za kijeshi nchini Syria, ni uongo mkubwa

    Jun 02, 2018 09:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Walid Muallem, amesema kuwa washauri wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran walioko Syria waliingia nchi hiyo kwa mwaliko maalumu wa serikali ya nchi hiyo na uwepo wao huo ni wa kisheria.

  • Iran: Hatutairuhusu Israel iufanye mwanasesere usalama wetu

    Iran: Hatutairuhusu Israel iufanye mwanasesere usalama wetu

    Jun 02, 2018 03:32

    Mshauri wa Masuala ya Kimataifa wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema katu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitouruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuufanya mwanasesere usalama wake.

  • Umoja wa Ulaya wapiga hatua katika kulinda biashara na Iran

    Umoja wa Ulaya wapiga hatua katika kulinda biashara na Iran

    Jun 01, 2018 09:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian amesema Umoja wa Ulaya umepiga hatua katika kuyalinda mashirika ya kibiasahra ya umoja huo ili yasilengwe kwa vikwazo vya Marekani kutokana na kufanya biashara na Iran. Hata hivyo amesema hatua zilizochukuliwa bado hazitoshi.

  • Wendey Sherman akiri: Iran ina utamaduni wa muqawama na inajivunia

    Wendey Sherman akiri: Iran ina utamaduni wa muqawama na inajivunia

    Jun 01, 2018 03:37

    Naibu wa zamani wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekiri kuwa Wairani wana utamaduni wa muqawama na ambao wanajivunia na kujifakharisha nao.

  • Askofu Mkuu wa Iran: Marekani haina uwezo wa kukabiliana na mshikamano wa taifa la Iran

    Askofu Mkuu wa Iran: Marekani haina uwezo wa kukabiliana na mshikamano wa taifa la Iran

    May 31, 2018 20:26

    Askofu Mkuu wa Wakristo wa Kiarmenia wa Tehran na kaskazini mwa Iran amesema kuwa, karibu miaka 40 sasa taifa la Iran limesimama imara kukabiliana na vikwazo kwa nguvu zake zote hivyo, Marekani na mabeberu wengine wa dunia hawana uwezo wa kukabiliana na umoja na mshikamano wa taifa la Iran.

  • Kuendelea vikwazo; kilele cha uadui wa Marekani dhidi ya Iran

    Kuendelea vikwazo; kilele cha uadui wa Marekani dhidi ya Iran

    May 31, 2018 20:22

    Vikwazo vipya vimetangazwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia uamuzi wa Marekani wa kujitoa katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia: Lugha ya Vitisho Haitatui Matatizo ya Kimataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia: Lugha ya Vitisho Haitatui Matatizo ya Kimataifa

    May 31, 2018 02:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amesema masuala ya nyuklia ya Iran, Korea Kaskazini na mgogoro wa Ukraine ni masuala ambayo hayawezi kutatuliwa kwa lugha ya vitisho.

  • Kukaribia Siku ya Kimataifa ya Quds; kuunga mkono taifa madhulumu la Palestina na majukumu ya Kimataifa

    Kukaribia Siku ya Kimataifa ya Quds; kuunga mkono taifa madhulumu la Palestina na majukumu ya Kimataifa

    May 31, 2018 00:48

    "Ulimwengu wa Kiislamu leo unapaswa kuwa na nafasi ya kimsingi katika masuala muhimu na usiruhusu uzoefu mchungu wa miongo iliyopita na kuenea satwa ya madola makubwa na athari zake za muda mrefu kukaririwa."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS