Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Jeshi la Iran lasema haliwezi kupigishwa magoti na maadui

    Jeshi la Iran lasema haliwezi kupigishwa magoti na maadui

    Apr 23, 2018 03:31

    Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katu Iran haiwezi kupigishwa magoti na kukubali matakwa ya maadui wa taifa hili wakiongozwa na Marekani na waitifaki wake.

  • Macron: Ufaransa haina mpango mwingine mbadala wa makubaliano ya JCPOA

    Macron: Ufaransa haina mpango mwingine mbadala wa makubaliano ya JCPOA

    Apr 22, 2018 23:32

    Rais wa Ufaransa ameashiria kuwa Paris haina mpango mwingine mbadala wa makubaliano ya JCPOA na kuitaka Marekani isalie katika makubaliano hayo ya pamoja na Iran.

  • Iran na Benin kuimarisha uhusiano wao katika uga wa viwanda

    Iran na Benin kuimarisha uhusiano wao katika uga wa viwanda

    Apr 22, 2018 20:55

    Balozi wa Benin hapa mjini Tehran, Naim Akibo amesema akthari ya nchi za Afrika hazijadiriki uwezo mkubwa wa Iran katika nyuga za viwanda, kilimo na uchumi ambao zingeutumia katika kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili.

  • Iran: Ripoti ya haki za binadamu ya Marekani ni ya kiuadui na kisiasa na haikubaliki

    Iran: Ripoti ya haki za binadamu ya Marekani ni ya kiuadui na kisiasa na haikubaliki

    Apr 22, 2018 03:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa jibu kwa ripoti ya kila mwaka inayotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuhusu haki za binadamu kwa kueleza kwamba ripoti hiyo ni ya kiuadui na kisiasa na haikubaliki.

  • Iran: Kama mapatano ya JCPOA yatavunjika, tutaanza kutekeleza miradi yetu ya nyuklia kwa kasi kubwa

    Iran: Kama mapatano ya JCPOA yatavunjika, tutaanza kutekeleza miradi yetu ya nyuklia kwa kasi kubwa

    Apr 21, 2018 23:40

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu uwezekano wa Marekani kujitoa katika mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA kwamba, Tehran ina machaguo kadhaa likiwemo la kuanzisha utekelezaji wa miradi yake ya nyuklia kwa kasi kubwa zaidi.

  • Jaberi Ansari afanya mazungumzo na mjumbe wa UN katika masuala ya Syria

    Jaberi Ansari afanya mazungumzo na mjumbe wa UN katika masuala ya Syria

    Apr 21, 2018 09:38

    Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria leo amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Hossein Jaberi Ansar msaidizi mkuu wa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran katika masuala ya siasa.

  • Russia: Mradi wa makombora wa Iran hauna uhusiano wowote na JCPOA

    Russia: Mradi wa makombora wa Iran hauna uhusiano wowote na JCPOA

    Apr 21, 2018 02:57

    Balozi wa Russia mjini Tehran amesisitiza kuwa, mradi wa makombora wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na siasa za Tehran kuhusiana na eneo hili hazina uhusiano wowote na maafikiano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina la JCPOA.

  • Zarif: Marekani itajuta kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran

    Zarif: Marekani itajuta kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran

    Apr 20, 2018 02:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif amesema Tehran ina hatua kadhaa ambazo inaweza kuchukua ambazo zitaifanya Marekani ijute kujiondoa katika mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.

  • Iran yaonyesha uwezo wake mkubwa wa kijeshi katika Siku ya Taifa ya Jeshi

    Iran yaonyesha uwezo wake mkubwa wa kijeshi katika Siku ya Taifa ya Jeshi

    Apr 18, 2018 03:21

    Rais Hassan Rouhani amesema uwezo mkubwa wa kijeshi na kiulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kwa ajili ya kujihami na wala sio kwa sababu ya kuivamia nchi yeyote au kudhuru maslahi yao.

  • Rouhani: Iran na Uturuki zitaendelea kushirikiana ili kuzima taharuki Syria

    Rouhani: Iran na Uturuki zitaendelea kushirikiana ili kuzima taharuki Syria

    Apr 18, 2018 03:00

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashambulizi ya hivi karibuni ya kijeshi yaliyofanywa na Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria yameacha mfano wenye sura ya kutisha kwenye uhusiano wa kimataifa, na kusisitiza kwamba Iran na Uturuki zitaendelea kuwa na ushirikiano wa karibu kwa lengo la kuzuia kushtadi taharuki katika nchi hiyo ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS