Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Zarif aonya kuhusu tishio la misimamo ya kufurutu ada Mashariki ya Kati

    Zarif aonya kuhusu tishio la misimamo ya kufurutu ada Mashariki ya Kati

    Apr 17, 2018 23:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu tishio la misimamo mikali ya kufurutu ada katika eneo licha ya kuangamizwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.

  • Jeshi la Iran lazima shambulio la kigaidi katika mpaka na Pakistan

    Jeshi la Iran lazima shambulio la kigaidi katika mpaka na Pakistan

    Apr 17, 2018 09:43

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH limefanikiwa kuzima jaribio la shambulizi la kigaidi karibu na mpaka wa nchi hii na Pakistan, ambapo magaidi watatu wameangamizwa.

  • Mogherini asisitiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran huku undumakuwili wa EU ukiendelea

    Mogherini asisitiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran huku undumakuwili wa EU ukiendelea

    Apr 17, 2018 03:48

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesistiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA.

  • Spika Larijani ataka kuimarishwa uhusiano wa kibiashara wa Iran na Vietnam

    Spika Larijani ataka kuimarishwa uhusiano wa kibiashara wa Iran na Vietnam

    Apr 17, 2018 03:31

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uhusiano wa kibiashara wa Iran na Vietnam unapaswa kustawishwa kama ulivyo uhusiano wa kisiasa kati ya nchi mbili hizo.

  • Iran: Watoto laki tatu wa Afghanistan wanasomeshwa bure hapa nchini

    Iran: Watoto laki tatu wa Afghanistan wanasomeshwa bure hapa nchini

    Apr 16, 2018 22:48

    Naibu Waziri wa Elimu nchini Iran amesema kuwa, jumla ya watoto laki mbili na 93 elfu 366 raia wa Afghanistan wanasoma elimu ya msingi katika shule mbalimbali nchini hapa.

  • Ulimwengu wa Michezo, Apr 16

    Ulimwengu wa Michezo, Apr 16

    Apr 16, 2018 01:56

    Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita..

  • Iran: Taarifa ya kikao cha Arab League imekariri madai hewa na uongo usio na tija

    Iran: Taarifa ya kikao cha Arab League imekariri madai hewa na uongo usio na tija

    Apr 16, 2018 00:06

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa jibu kwa taarifa iliyotolewa mwishoni mwa kikao cha viongozi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), ambapo mbali na kusisitiza kwamba sera za msingi na za kudumu za Jamhuri ya Kiislamu ni kutoingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine, amebainisha kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi ya Iran katika baadhi ya vifungu vya taarifa hiyo hazikubaliki asilani.

  • Mfalme wa Saudia akariri madai yasiyo na msingi dhidi ya Iran

    Mfalme wa Saudia akariri madai yasiyo na msingi dhidi ya Iran

    Apr 15, 2018 23:48

    Mfalme wa Saudi Arabia kwa mara nyingine amekariri madai yasiyo na msingi na kudai kuwa eti Iran inaingilia mambo ya ndani ya Yemen na kuwa inaunga mkono ugaidi.

  • Nasrullah: Israel imejichimbia kaburi kwa kuishambulia kijeshi Syria

    Nasrullah: Israel imejichimbia kaburi kwa kuishambulia kijeshi Syria

    Apr 14, 2018 03:09

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya makosa makubwa zaidi kwa kuwashambulia wanajeshi wa Iran ulipolenga kituo cha anga cha Syria hivi karibuni.

  • Iran, Russia zatoa onyo kali baada ya US, UK na Ufaransa kuvurumisha makombora Syria

    Iran, Russia zatoa onyo kali baada ya US, UK na Ufaransa kuvurumisha makombora Syria

    Apr 14, 2018 02:45

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zimelaani vikali mashambulizi ya makombora ya Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria huku zikitoa onyo kali juu ya matokeo mabaya ya hujuma hiyo ya kijeshi dhidi ya nchi huru.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS