-
Kikao cha utangulizi cha wakuu wa nchi za Kiarabu, uchochezi dhidi ya Iran
Apr 13, 2018 21:53Huku akikanusha tuhuma zilizotolewa hivi karibuni dhidi ya Iran kupitia taarifa ya kikao cha nane cha kamati ya pande nne ya Kiarabu huko Saudia, Bahram Qassemi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa tuhuma hizo hazina msingi na kwamba ni za dharau.
-
Iran yaionya Ufaransa isikubali kulaghaiwa na Bin Salman kuhusiana na Syria
Apr 13, 2018 00:06Bahram Qassemi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, viongozi wa serikali ya Ufaransa wanapaswa kuwa macho na wasikubali kurubuniwa na madai ya uongo na propaganda za Mohammad bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia ambaye ni mwanagenzi sana katika masuala ya siasa na vita.
-
Iran yajiimarisha kijeshi, yaahidi kutoa jibu kali kwa maadui
Apr 11, 2018 02:57Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Brigedia Jenerali Amir Hatami amesema nchi hii inaendelea kuimarisha uwezo wake wa kujihami na kwamba iko tayari kutoa jibu kali kwa maadui iwapo watachukua hatua zozote za uhasama.
-
Araqchi: Marekani haiwezi kuchukua uamuzi peke yake kuhusu JCPOA
Apr 10, 2018 12:17Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema: makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hayapo kwa ajili ya Marekani hata iamue kuchukua uamuzi wowote itakao kuhusu makubaliano hayo.
-
Zarif awasili Brazil baada ya kufanya mazungumzo na Rais wa Senegal
Apr 10, 2018 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili nchini Brazil mapema leo Jumanne katika safari yake ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadha za Afrika na Amerika ya Latini.
-
Rouhani: Iran na Russia zitaendelea kushirikiana hadi usalama urejee Syria
Apr 09, 2018 23:19Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zitaendelea kuwa na uhusiano wa kistratajia na ushirikiano wa karibu hadi usalama, utulivu na uthabiti urejee kikamilifu nchini Syria.
-
Iran na Senegal zaazimia kuimarisha uhusiano baina yao
Apr 09, 2018 22:20Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Senegal zimesisitiza juu ya azma ziliyonayo ya kuimarisha zaidi ushirikiano baina yao zikiwa nchi mbili wanachama katika Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC.
-
Jumanne, tarehe 10 Aprili, 2018
Apr 09, 2018 22:14Leo ni Jumanne tarehe 23 Rajab 1439 Hijria sawa na tarehe 10 Aprili 2018
-
Zarif asisitiza kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Iran na Senegal
Apr 09, 2018 02:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria nyanja za ushirikiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Senegal na kusisitizia kuimarishwa na kustawishwa uhusiano wa pande mbili hizo.
-
Ulimwengu wa Spoti, Apr 9
Apr 09, 2018 01:39Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tuangazie matukio muhimu yaliyojiri viwanjani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.....