-
Zarif aanza safari ya kuzitembelea nchi za Afrika, Amerika ya Latini
Apr 08, 2018 03:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran leo Jumapili ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika na Amerika ya Latini.
-
Jumapili, Aprili 8, 2018
Apr 07, 2018 22:20Leo ni Jumapili tarehe 21 Rajab 1439 Hijria, sawa na tarehe 8 Aprili 2018, Miladia.
-
Afya kwa Wote, Kaulimbiu ya Siku ya Kimataifa ya Afya
Apr 07, 2018 08:57Shirika la Afya Duniani (WHO) ni miongoni mwa taasisi zilizoanzishwa na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kutimiza moja ya malengo yake muhimu yaani kuhakikisha kila mtu anapata huduma za afya na siha.
-
Iran: Tutatoa jibu kali iwapo Marekani itakiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Apr 05, 2018 23:18Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran amezitahadharisha nchi zinazotaka kuvuruga makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kati ya Iran na nchi 6 wanachama wa kundi la 5+1 na kusisitiza kuwa, Tehran itatoa jibu kali kwa hatua kama hiyo.
-
Zarif aimbia NAM; Israel ndiyo tishio kuu kwa usalama wa dunia
Apr 05, 2018 10:25Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndilo tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia huku akitoa mwito wa kuanzishwa uchunguzi wa kimataifa juu ya jinai za utawala huo dhidi ya Wapalestina.
-
Zimbabwe yataka kuimarisha zaidi uhusiano wake na Iran
Apr 05, 2018 10:14Makamu wa Rais wa Zimbabwe amehimiza kuimarishwa uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mawaziri wa Ulinzi wa Iran na Russia wakutana, wajadili vita dhidi ya ugaidi
Apr 04, 2018 02:51Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Amir Hatami amesema Iran itaendelea kushirikiana na Russia katika vita dhidi ya ugaidi hadi pale magaidi watakapotimuliwa nchini Syria na eneo zima la Asia Magharibi.
-
Iran kufuatilia jinai za Israel katika taasisi za kimataifa
Apr 04, 2018 02:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesisitza kuwa Iran itaendelea kuunga mkono harakati za mapambano ya kupigania ukombozi wa Palestina kutoka katika makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 34 na sauti
Apr 03, 2018 09:37Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 34 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Waziri wa Ulinzi wa Uingereza acheza ngoma ya Trump
Apr 03, 2018 01:59Waziri wa Ulinzi wa Uingereza amedai kuwa, kuwepo kwa makundi yanayopigana kwa niaba ya Iran katika nchi za Iraq, Syria na Yemen na eti sera za kupenda jaha ya atomiki za Tehran ni mambo yanayotambuliwa na watu wote!