Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: Tutaendelea daima kutetea haki za taifa linalodhulumiwa la Palestina

    Iran: Tutaendelea daima kutetea haki za taifa linalodhulumiwa la Palestina

    Mar 04, 2018 13:21

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) anayehusika na masuala ya kimataifa amesema katika mazungumzo yake na balozi wa Palestina hapa mjini Tehran kwamba Jahuri ya Kiislamu ya Iran daima itaendelea kupigania haki zilizoporwa za taifa la Palestina.

  • Ufaransa yasisitiza kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Ufaransa yasisitiza kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Mar 04, 2018 13:10

    Viongozi wa Ufaransa wamesisitiza tena misimamo yao juu ya kuyalinda na kuyaheshimu makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Iran ina ushahidi kuhusu uhusiano wa Marekani na Daesh (ISIS)

    Iran ina ushahidi kuhusu uhusiano wa Marekani na Daesh (ISIS)

    Mar 04, 2018 04:30

    Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema vyombo vya usalama vya Iran vina ithibati kuhusu uhusiano kati ya Marekani na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).

  • Iran: Hatufanyi mazungumzo na EU kuhusu kuimarika ushawishi wetu M/Kati

    Iran: Hatufanyi mazungumzo na EU kuhusu kuimarika ushawishi wetu M/Kati

    Mar 04, 2018 00:02

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekadhibisha ripoti zilizodai kuwa Tehran na nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya EU zimeanza kufanya mazungumzo kuhusu nafasi ya taifa hili katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Jumapili, Machi 4, 2018

    Jumapili, Machi 4, 2018

    Mar 03, 2018 23:06

    Leo ni Jumapili tarehe 15 Jamadith-Thani mwaka 1439 Hijiria, mwafaka na tarehe 4 Machi, mwaka 2018 Miladia.

  • Israel: Tumepoteza uwezo wetu mkubwa mbele ya harakati ya Hizbullah na Hamas

    Israel: Tumepoteza uwezo wetu mkubwa mbele ya harakati ya Hizbullah na Hamas

    Mar 03, 2018 01:38

    Kamanda wa vikosi vya ardhini vya utawala haramu wa lsrael amekiri kwamba, jeshi la utawala huo limepoteza uwezo wake mkubwa mkabala wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Harakati ya muqawama wa Palestina HAMAS.

  • Boroujerdi: Iran haina mahusiano yoyote ya kiuchumi, kimichezo na kisiasa na Israel

    Boroujerdi: Iran haina mahusiano yoyote ya kiuchumi, kimichezo na kisiasa na Israel

    Mar 02, 2018 10:26

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Alaeddin Boroujerdi sambamba na kubainisha kwamba michezo ni sehemu ndogo ya mahusiano yaliyokatwa mapema kati ya Iran na Israel, amesema kuwa mfumo wa Iran ya Kiislamu kamwe hauna mahusiano ya kiuchumi na kisiasa na utawala huo bandia.

  • Qassemi: Ripoti ya Antonio Guterres kuhusu hali ya haki za binadamu Iran haina itibari

    Qassemi: Ripoti ya Antonio Guterres kuhusu hali ya haki za binadamu Iran haina itibari

    Mar 02, 2018 00:30

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ripoti ya Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran haina itibari wala thamani kutokana na kutoakisi ukweli.

  • Iran yazilaumu vikali nchi zinazomiliki silaha za nyuklia

    Iran yazilaumu vikali nchi zinazomiliki silaha za nyuklia

    Mar 01, 2018 12:00

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezilaumu vikali nchi zinazomiliki silaha za nyuklia kwa kutoheshimu ahadi zao kwa mujibu wa kifungu cha 6 cha Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji, Uenezaji na Utumiaji wa Silaha za Nyuklia na kusema kuwa nchi hizo ndizo zinazokwamisha ufanikishaji wa vipengee vya mkabata huo.

  • Iran: Tutajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia iwapo hayatakuwa na maslahi kwetu

    Iran: Tutajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia iwapo hayatakuwa na maslahi kwetu

    Feb 28, 2018 04:35

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran itajiondoa mara moja kwenye makubaliano ya nyuklia iwapo itahisi mapatano hayo hayana maslahi kwa taifa hili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS