-
Iran: Marekani inawasaidia wavamizi wa Yemen
Feb 27, 2018 04:27Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, madai ya kukaririwa na ya kuchosha ya mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa dhidi Iran ni msaada kwa wavamizi wa Yemen.
-
Russia yapigia veto muswada wa Uingereza dhidi ya Iran kuhusu Yemen
Feb 26, 2018 23:24Muswada wa azimio lililo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran uliopendekezwa na Uingereza kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, umekwamishwa na kura ya veto ya Russia.
-
Ulimwengu wa Michezo, Feb 26
Feb 26, 2018 04:26Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita...
-
Rais wa Afrika Kusini atoa mkono wa pole kufuatia ajali ya ndege ya Iran
Feb 23, 2018 04:19Rais mpya wa Afrika Kusini ametoa mkono wa rambirambi kufuatia kuanguka ndege ya abiria Jumapili asubuhi hapa Iran na kuua watu wote 66 waliokuwemo kwenye ndege hiyo.
-
IAEA: Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Feb 22, 2018 23:48Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umethibitisha tena kwamba, shughuli za miradi ya kuzalisha nishati ya nyuklia nchini Iran zinafanyika kwa mujibu wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Adel al-Jubeir akariri tena madai yake ya uwongo dhidi ya Iran
Feb 22, 2018 10:42Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Saudi Arabia amekariri tena madai yake ya uwongo na yasiyo na msingi wowote kwamba, Iran inaingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine.
-
Iran na Uhispania zasisitiza kupanua zaidi ushirikiano baina yao
Feb 22, 2018 00:58Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uhispania wamesisitiza azma ya nchi zao ya kustawisha zaidi uhusiano na ushirikiano baina yao.
-
Iran: Jibu letu kwa Israel litaisambaratisha Tel Aviv kikamilifu
Feb 21, 2018 04:15Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu ya Iran, ameonya kuwa, mji mkuu wa utawala wa Kizayuni utageuzwa majivu Tehran ikilazimika kujibu mapigo iwapo Benjamin Netanyahu atatekeleza vitisho vyake alivyovitoa hivi karibuni dhidi ya taifa hili.
-
Rouhani: Mazungumzo ya Astana na Sochi yameleta matumaini ya usalama na uthabiti wa Syria
Feb 20, 2018 00:35Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ushirikiano na mazungumzo ya pande tatu ya Iran, Russia na Uturuki kuhusiana na masuala ya Mashariki ya Kati, hususan vita dhidi ya ugaidi na kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Syria yamekuwa na taathira chanya na amesisitiza juu ya kuendelezwa juhudi na ushirikiano huo ili kufikiwa malengo kusudiwa.
-
Baada ya kufanikiwa ushirikiano wao katika vita dhidi ya ugaidi, sasa Iran na Iraq zatiliana saini mapatano maalumu ya kijeshi
Feb 18, 2018 23:34Naibu Waziri wa Ulinzi wa Iran na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi ya Iraq wamekutana na kutiliana saini mapatano maalumu ya kijeshi.