-
Mshauri wa Usalama wa Taifa Marekani anaeneza chuki dhidi ya Iran
Feb 18, 2018 04:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Mshauri wa Usalama wa Taifa katika utawala wa Marekani anaeneza chuki dhidi ya Iran.
-
Tamasha la Kimataifa la Filamu la Fajr la Iran kufanyika Aprili
Feb 18, 2018 04:07Tamasha la Kimataifa la Filamu la Fajr la Iran (FIFF) limepangwa kufanyika chini ya miezi miwili ijayo huku idadi kubwa ya filamu ikiwania kushiriki katika tamasha hilo.
-
Velayati: Muqawama utawatimua Marekani, Wazayuni Euphrates Mashariki
Feb 17, 2018 13:41Afisa wa ngazi za juu nchini Iran amesema harakati ya muqawama katika eneo itaitimua Marekani na utawala haramu wa Kizayuni kutoka eneo la Mashariki mwa Mto Euphrates ambao unatiririka kutoka Uturuki na kupitia Syria hadi Iraq.
-
Zarif: Iran ndiyo nchi yenye amani zaidi katika Mashariki ya Kati
Feb 17, 2018 02:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ndiyo nchi yenye amani zaidi na yenye nguvu kubwa zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati licha ya mashinikizo yote ya kimataifa.
-
Marekani na Israel; chimbuko la ukosefu wa usalama na amani nchini Syria
Feb 15, 2018 07:31Takribani wiki moja baada ya ndege ya kijeshi ya utawala haramu wa Israel aina ya F16 kutunguliwa huko nchini Syria, viongozi wa Marekani wakiwa na lengo la kuuunga mkono utawala huo ghasibu, walidai bila hata soni kwamba, uwepo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Syria eti ndio chimbuko la ukosefu wa usalama na amani katika Mashariki ya Kati.
-
Iran yajibu tuhuma za Marekani: Siasa zenu ndio chanzo hasa cha kuvurugika uthabiti Mashariki ya Kati
Feb 15, 2018 04:52Ofisi ya Uwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imetoa jibu kwa tuhuma za balozi wa Marekani katika umoja huo na kueleza kuwa: uungaji mkono wa kila hali kwa siasa za kichokozi na uvamizi za utawala wa Kizayuni ndio chanzo kikuu cha machafuko na ukosefu wa amani katika Mashariki ya Kati.
-
Iran yasema ipo tayari kusaidia operesheni za kulinda amani duniani
Feb 14, 2018 04:39Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameueleza umoja huo juu ya utayarifu wa Tehran wa kuchangia na kusaidia operesheni za kulinda amani duniani.
-
Wakuu wa Iran, Ansarullah wajadili suluhisho la kisiasa Yemen, utoaji misaada
Feb 13, 2018 23:22Maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Harakati ya Ansarullah ya Yemen wamefanya mazungumzo mjini Tehran kujadili njia za kuhitimisha mgogoro wa kisiasa katika nchi hiyo ya Kiarabu na udharura wa kuwaikifhsia misaada wananchi wake.
-
Velayati: Iran ni nchi muhimu katika eneo la Asia Magharibi
Feb 12, 2018 23:28Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa Iran ni nchi muhimu katika eneo la Asia ya Magharibi na inayo haki ya kujibu na kuitikia miito ya nchi rafiki na mhimili wa muqawama.
-
Kiongozi Muadhamu alishukuru taifa kwa kujitokeza kwa hamasa katika maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2018 04:39Maandamano ya kitaifa ya watu wa Iran kwa munasaba wa maadhimisho ya kukamilika mwaka wa 39 tokea yapate ushindi Mapinduzi ya Kiislamu ulikuwa ni ushiriki wa kihamasa uliokuwa na ujumbe maalum kwa dunia nzima.