-
Kuitetea Palestina ndiko kumefanya maadui wachochee ghasia Iran
Jan 03, 2018 00:31Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni Wanamuqawama sambamba na kulaani machafuko yanayoendelea kushuhudiwa katika baadhi ya maeneo hapa nchini Iran, amesisitiza kuwa maadui Wamagharibi ndio waliochochea ghasia hizi kutokana na msimamo wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuitetea Palestina na kuunga mkono harakati za muqawama.
-
Iran: Kabla ya Trump kuingilia Iran, aokoe kwanza mamilioni ya Wamarekani wanaokufa njaa
Jan 02, 2018 04:15Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uingereza amejibu uingiliaji wa Rais Donald Trump wa Marekani katika masuala ya ndani ya Iran na kusema kuwa, licha ya Marekni kujulikana kuwa na uwezo mkubwa wa kiuchumi duniani, lakini kwa mwaka idadi kubwa ya raia wake huwa wanakufa njaa kutokana na tofauti ya kitabaka.
-
Shamkhani: Marekani, Uingereza na Saudia zapokezana mashambulizi ya Intaneti dhidi ya Iran
Jan 02, 2018 01:14Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, Marekani, Uingereza na Saudi Arabia zimeanzisha vita vya kupokezana katika Intaneti kuishambulia kila upande Jamhuri ya Kiislamu na taifa la Iran.
-
Rais Rouhani: Maadui wamekasirishwa na maendeleo ya Iran
Jan 01, 2018 12:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mafanikio ya taifa la Iran katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kisiasa na kikanda yamewatia hasira na kuwaghadhibisha maadui.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 1
Jan 01, 2018 03:55Mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti kitaifa na kimataifa ndani ya siku saba zilizopita....
-
Rais Rouhani: Marekani haina haki ya kujifanya ina uchungu na taifa la Iran
Jan 01, 2018 01:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, rais wa Marekani ambaye miezi kadhaa iliyopita aliwatuhumu watu wa taifa la Iran kuwa ni magaidi, hana haki ya kujifanya ni mwenye uchungu na nchi hii.
-
Tehran: Israel, US hazina ufahamu juu ya taifa la Iran
Dec 31, 2017 11:23Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani na nchi nyingine zinazojifanya kutetea haki za Wairani hazina ufahamu wowote kuhusu taifa la Iran.
-
Salah Zawawi asifu utendaji na mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu Palestina
Dec 31, 2017 11:20Balozi wa Palestina hapa mjini Tehran amesifu utendaji na mtazamo wa Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusiana na Palestina na makundi ya harakati ya Palestina.
-
Magari yaliyotengenezwa nchini Iran kuanza kuuzwa nchini Oman
Dec 31, 2017 04:30Mkuu wa kitengo cha biashara katika ubalozi wa Iran mjini Muscat amesema magari yaliyotegenezwa katika viwanda vya Iran sasa yataanza kuuzwa katika soko la Oman.
-
Mikusanyiko ya watu wa Iran yatumiwa vibaya na Marekani, vyombo vya habari ajinabi
Dec 31, 2017 04:25Katika hali ambayo wananchi wa Iran wamekuwa wakijumuika katika maeneo kadhaa kulalamikia ughali wa baadhi ya bidhaa, utawala wa Marekani na baadhi ya vyombo vya habari ajinabi na vilivyo dhidi ya Mapinduzi, vimetumia vibaya mikusanyiko hiyo na kujaribu kuichochea ielekee katika mkondo wa fujo na ghasia.