-
Umoja wa Ulaya kuhakikisha pande zote zinatekeleza mapatano ya nyuklia ya Iran
Nov 10, 2017 23:42Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa utahakikisha kuwa mapatano ya nyuklia ya mwaka 2015 baina ya Iran na madola sita makubwa duniani yanatekelezwa kikamilifu na pande husika.
-
Barua ya Iran kwa UN ikisisitizia udharura wa Saudia kuzuiwa katika jinai zake
Nov 09, 2017 00:20Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Katibu Mkuu na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo akiitaka Jamii ya Kimataifa iishinikize Saudi Arabia iheshimu sheria za kimataifa na kuacha kutoa vitisho vya kutumia mabavu dhidi ya nchi nyengine.
-
Iran yataka mgogoro wa Yemen utatuliwe kidiplomasia
Nov 09, 2017 00:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema kuna haja ya migogoro ya eneo, hasa mgogoro wa Yemen, kutatuliwa kwa njia za mazungumzo ya kidiplomasia.
-
Syria: Kamwe hatutaruhusu kushambuliwa Hizbullah ya Lebanon
Nov 08, 2017 11:43Mshauri wa Rais wa Syria amesisitiza kuwa, mahusiano ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hizbullah na Syria ni ya kiwango cha juu na kusema Damascus kamwe haitaruhusu harakati hiyo ya Kiislamu ya Hizbullah ishambuliwe.
-
Iran kufuta sarafu ya dola ya Marekani katika biashara ya kimataifa
Nov 07, 2017 23:25Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inalenga kufuta kabisa matumizi ya dola ya Marekani katika biashara zake za kimataifa.
-
Amano: Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA katika kipindi chote
Nov 07, 2017 04:49Kwa mara nyingine tena Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA, Yukia Amano ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuendelea kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA katika takriban kipindi cha miaka miwili cha mapatano hayo.
-
Iran: Njama za Saudia zitaifanya itengwe na ulimwengu wa Kiislamu
Nov 07, 2017 04:49Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa amesema uhaini na njama zinazofanywa na utawala wa kifalme wa Riyadh kila uchao katika ulimwengu wa Kiarabu na Kiislamu zitaifanya Saudi Arabia itengwe.
-
Qassemi: Tuhuma za muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Iran ni za uchochezi na uropokaji
Nov 06, 2017 10:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekanusha tuhuma zilizotolewa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia huko Yemen dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuzitaja kuwa ni za uchochezi, zisizodhihirisha uwajibikaji na haribifu.
-
Mahakama ya Juu Iraq yapiga marufuku kujitenga eneo lolote nchini
Nov 06, 2017 10:13Mahakama ya Juu ya Federali ya Iraq imepiga marufuku mpango wowote wa kujitenga mkoa au eneo lolote la nchi hiyo, kufuatia mgogoro uliosababishwa na jaribio la kutaka kujitenga eneo la Kurdistan kinyume cha katiba.
-
Wafanyaziara milioni mbili kutoka Iran waingia Iraq kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein AS
Nov 06, 2017 05:40Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iraq amesema hadi kufikia jana Jumapili Alasiri, wafanyaziara milioni mbili kutoka Iran walikuwa wameingia Iraq kwa ajili Arubaini ya Imam Hussein AS.