Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Takraibani asilimia 95 ya Wairani hawaiamini Marekani

    Takraibani asilimia 95 ya Wairani hawaiamini Marekani

    Nov 05, 2017 11:33

    Uchunguzi wa maoni umebaini kuwa asilimia 94.5 ya wananchi wote wa Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran hawaiamini Marekani na wanaitazama nchi hiyo kama adui.

  • Iran yakanusha madai ya Trump ya kuipatia Yemen makombora

    Iran yakanusha madai ya Trump ya kuipatia Yemen makombora

    Nov 05, 2017 11:28

    Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amekanusha madai yasiyo na msingi ya Rais wa Marekani kuwa eti Yemen imepokea makombora kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran: Hujumu dhidi ya wakimbizi Syria, ishara ya kusambaratika ISIS Deir Ezzor

    Iran: Hujumu dhidi ya wakimbizi Syria, ishara ya kusambaratika ISIS Deir Ezzor

    Nov 05, 2017 11:23

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali shambulizi la bomu dhidi ya mkusanyiko wa wakimbizi katika mji wa Deir Ezzor, mashariki mwa Syria, lililosababisha vifo vya makumi ya watu.

  • Rais Rouhani alikataa ombi la Trump la kufanya mazungumzo ya moja kwa moja

    Rais Rouhani alikataa ombi la Trump la kufanya mazungumzo ya moja kwa moja

    Nov 03, 2017 23:11

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikataa katakata ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kufanya mazungumzo ya moja kwa moja, limeandika gazeti la Washington Post.

  • Madai kuwa Iran ilikuwa na uhusiano na al-Qaida ni upotoshaji wa Marekani kwa kutumia dola za Saudia

    Madai kuwa Iran ilikuwa na uhusiano na al-Qaida ni upotoshaji wa Marekani kwa kutumia dola za Saudia

    Nov 03, 2017 11:27

    Nyaraka mpya zilizosambazwa na Shirika la Ujasusi la Marekani CIA sambamba na ripoti ya taasisi ya nchi hiyo inayodai kutetea demokrasia kuhusiana na shambulio la Marekani katika maficho ya Osama bin Laden, kiongozi wa zamani wa al-Qaida huko katika eneo la Abbottabad nchini Pakistan mwaka 2011, zinadai eti kuwepo uhusiano wa aina fulani kati ya kundi hilo la kigaidi na Iran.

  • Zarif: Marekani inajaribu kupotosha ukweli kuhusu mashambulizi ya Septemba 11

    Zarif: Marekani inajaribu kupotosha ukweli kuhusu mashambulizi ya Septemba 11

    Nov 03, 2017 10:47

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inafanya juu chini kupotosha ukweli wa mambo kuhusu mashambulio ya kigaidi ya Septemba 11 mwaka 2001.

  • Marais Putin na Macron: Kupitia upya makubaliano ya JCPOA ni jambo lisilokubalika

    Marais Putin na Macron: Kupitia upya makubaliano ya JCPOA ni jambo lisilokubalika

    Nov 03, 2017 01:02

    Rais Vladmir Putin wa Russia na Emmanuel Macron wa Ufaransa wamesema kuwa, kuangaliwa upya makubaliano ya nyuklia ya Iran JCPOA, ni jambo lisilokubalika.

  • Uingereza ina hamu ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara na Iran

    Uingereza ina hamu ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara na Iran

    Nov 02, 2017 00:40

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ameashiria namna Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilivyoheshimu vizuri makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusema kuwa London ina hamu ya kuona uhusiano wake wa kibiashara na Tehran unaimarika.

  • Rais Putin wa Russia atarajiwa Iran kuhudhuria mkutano wa pande tatu

    Rais Putin wa Russia atarajiwa Iran kuhudhuria mkutano wa pande tatu

    Nov 01, 2017 01:01

    Rais Vladimir Putin wa Russia na Rais Ilham Aliyev wa Jamhuri ya Azerbaijan leo Jumatano wanatarajiwa kuwasili mjini Tehran kwa ajili ya mkutano wa pande tatu na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Jeshi la Anga la Iran laanza mazoezi makubwa kati mwa nchi

    Jeshi la Anga la Iran laanza mazoezi makubwa kati mwa nchi

    Nov 01, 2017 01:01

    Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeanzisha mazoezi makubwa yanayojumuisha ndege aina mbali mbali za kivita katika eneo la Isfahan, kati mwa Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS