Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Jeshi la Anga la Iran laanza mazoezi makubwa kati mwa nchi

    Jeshi la Anga la Iran laanza mazoezi makubwa kati mwa nchi

    Nov 01, 2017 01:01

    Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeanzisha mazoezi makubwa yanayojumuisha ndege aina mbali mbali za kivita katika eneo la Isfahan, kati mwa Iran.

  • Rais Rouhani: Wamarekani wanataka kuwavunja moyo wananchi wa Iran

    Rais Rouhani: Wamarekani wanataka kuwavunja moyo wananchi wa Iran

    Oct 31, 2017 01:14

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wamarekani wanataka kuwavunja moyo wananchi wa Iran kuhusu masuala yao ya kiuchumi na hiyo ndiyo njama yao kuu ya kuzuia maendeleo ya taifa hili.

  • Amir wa Qatar: Iran ndio njia pekee ya kupitishia chakula na dawa katika kipindi cha mzingiro

    Amir wa Qatar: Iran ndio njia pekee ya kupitishia chakula na dawa katika kipindi cha mzingiro

    Oct 30, 2017 23:16

    Mfalme wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amesema Iran ndio njia pekee ya kupitishia chakula kwa ajili ya wananchi wa Qatar waliowekewa mzingiro; na akaongeza kwamba Saudi Arabia na nchi nyengine tatu za Kiarabu zinakula njama ya kuubadilisha utawala katika nchi yake.

  • Iran itaendelea kushirikiana na IAEA, kufungamana na JCPOA

    Iran itaendelea kushirikiana na IAEA, kufungamana na JCPOA

    Oct 30, 2017 04:30

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kuna haja Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) uendelee kuwa chombo huru na kisichoegemea upande wowote akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuimarisha ushirikiano wake na wakala huo.

  • Iran itashiriki vilivyo katika kuijenga upya Syria

    Iran itashiriki vilivyo katika kuijenga upya Syria

    Oct 30, 2017 00:30

    Waziri wa Viwanda, Madini na Biashara wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itashiriki vilivyo katika utekelezaji wa mipango itakayoainishwa na serikali ya Syria katika kujenga upya sekta mbali za uzalishaji, utoaji huduma na ustawi zilizoharibiwa vibaya na magenge ya kigaidi yaliyoivamia nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Rouhani: Wamarekani wametiwa kiwewe na uwezo mkubwa wa makombora wa Iran

    Rouhani: Wamarekani wametiwa kiwewe na uwezo mkubwa wa makombora wa Iran

    Oct 29, 2017 12:41

    Rais Hassan Rouhani ameutaja kuwa ni kichekesho na dhihaka mwito wa Marekani wa kutaka kufanyika mazungumzo mapya kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuzalisha makombora kwa ajili ya kujilinda.

  • Ayatullah Shirazi: Waislamu wasinyamazie kimya jinai dhidi ya wenzao wa Rohingya

    Ayatullah Shirazi: Waislamu wasinyamazie kimya jinai dhidi ya wenzao wa Rohingya

    Oct 29, 2017 12:32

    Ayatullah Makarim Shirazi ambaye ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa wa Kiislamu nchini Iran ameeleza kusikitishwa kwake na hali mbaya inayozidi kuwakabili Waislamu wa jamii ya Rohingya huku akiwataka Waislamu kote duniani kutofumbia macho jinai wazofanyia ndugu zao nchini Myanmar.

  • IAEA: Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    IAEA: Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Oct 29, 2017 12:23

    Kwa mara nyingine tena Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) amesema kuwa Iran imefungamana na kutekeleza wajibu na majukumu yake kuhusu makubaliano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • UN yapitisha azimio lililopendekezwa na Iran la kutokomeza silaha za nyuklia

    UN yapitisha azimio lililopendekezwa na Iran la kutokomeza silaha za nyuklia

    Oct 29, 2017 00:14

    Azimio lililopendekezwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa kuhusiana na kutokomezwa silaha za nyuklia limepitishwa katika Kamati ya Utokomezaji Silaha ya Baraza Kuu la umoja huo kwa kura 112 za 'ndiyo' licha ya upinzani wa Marekani na waitifaki wake.

  • Kongamano la kiuchumi na uwekezaji baina ya Iran na Afrika kuanza leo Tehran

    Kongamano la kiuchumi na uwekezaji baina ya Iran na Afrika kuanza leo Tehran

    Oct 28, 2017 23:35

    Kongamano la kiuchumi na uwekezaji baina ya Iran na Afrika linafanyika leo mjini Tehran huku zaidi ya washiriki 600 wakitazamiwa kuhudhuria kutoka sekta binafsi za pande mbili. Aidha maafisa wa serikali za Afrika na Iran watahudhuria kongamano hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS