Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: Wanawake ndio wahanga wakuu wa magenge ya kigaidi

    Iran: Wanawake ndio wahanga wakuu wa magenge ya kigaidi

    Oct 28, 2017 04:36

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema wanawake ndio wahanga wakuu wa ukatili wa makundi ya kigaidi duniani.

  • Iran na Niger zasisitiza kukuza uhusiano wa kisiasa na kupambana na ugaidi

    Iran na Niger zasisitiza kukuza uhusiano wa kisiasa na kupambana na ugaidi

    Oct 27, 2017 04:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Rais wa Niger wamesisitiza suala la kukuza uhusiano wa kisiasa kati ya pande mbili na kupambana na ugaidi.

  • Qassemi: Ripoti ya Asma Jahangir imetayarishwa kwa malengo ya kisiasa

    Qassemi: Ripoti ya Asma Jahangir imetayarishwa kwa malengo ya kisiasa

    Oct 27, 2017 00:40

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa ripoti iliyotayarishwa na ripota maalumu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kuhusu Iran ni ya kichochezi na haina hadhi wala uhalali.

  • Kiongozi wa Mapinduzi: Siri ya ushindi  wa karibuni Iraq ni umoja na uungaji mkono wa vijana waumini na mashujaa

    Kiongozi wa Mapinduzi: Siri ya ushindi wa karibuni Iraq ni umoja na uungaji mkono wa vijana waumini na mashujaa

    Oct 26, 2017 13:04

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil-Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema, umoja wa kaumu tofauti na uungaji mkono wa serikali ya Iraq kwa vikosi vya wananchi na vijana waumini na mashujaa wa nchi hiyo ndio siri ya ushindi uliopatikana karibuni dhidi ya magaidi na waungaji mkono wao.

  • Boroujerdi: Siasa za Marekani dhidi ya irada ya mataifa zitaifanya Washington ikubali kushindwa

    Boroujerdi: Siasa za Marekani dhidi ya irada ya mataifa zitaifanya Washington ikubali kushindwa

    Oct 25, 2017 01:15

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Alaeddin Boroujerdi sambamba na kuashiria kufeli vibaya Marekani katika vita vyake nchini Vietnam, amesema kuwa Washington italazimika kukubali kushindwa kutokana na hatua yake ya kukabiliana na irada ya mataifa.

  • Zarif akutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini, wajadili uhusiano wa pande mbili

    Zarif akutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini, wajadili uhusiano wa pande mbili

    Oct 24, 2017 10:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini mjini Pretoria.

  • Zarif: Upayukaji wa Trump hauwezi kutia doa istikama ya wananchi wa Iran

    Zarif: Upayukaji wa Trump hauwezi kutia doa istikama ya wananchi wa Iran

    Oct 24, 2017 04:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alisema jana usiku mbele ya Wairani wanaoishi Afrika Kusini kwamba, upayukaji wa rais wa Marekani Donald Trump hauwezi kutia doa hata chembe katika ulinzi, muqawama na heshima ya wananchi wa Iran.

  • Iran katu  haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Iran katu haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Oct 24, 2017 01:01

    Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitafanya mazungumo yoyote kuhusu makombora yake ya kujihami.

  • Iran na Afrika Kusini zaafikiana kuendelea kuimarisha uhusiano

    Iran na Afrika Kusini zaafikiana kuendelea kuimarisha uhusiano

    Oct 23, 2017 10:28

    Afrika Kusini na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimeafikiana kuhusu kuimarisha uhusiano wa nchi mbili katika sekta mbali mbali.

  • Ulimwengu wa Spoti, Okt 23

    Ulimwengu wa Spoti, Okt 23

    Oct 23, 2017 04:39

    Hujambo mpenzi msikilizaji wa RT na karibu tutupie jicho matukio kadhaa muhimu yaliyotawala uga wa spoti kitaifa na kimataifa, ndani ya siku saba zilizopita. Usibanduke kando ya radio yako hadi tamati ya kipindi...

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS