-
Safari ya Zarif barani Afrika, hatua nyingine ya kustawisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi
Oct 23, 2017 04:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Muhammad Javad Zarif jana Jumapili aliwasili nchini Afrika Kusini akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi kwa shabaha ya kufanya mazungumzo na viongozi wa serikali ya Pretoria.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran yuko safarini Afrika Kusini
Oct 22, 2017 10:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif leo amewasili Afrika Kusini katika safari yake ya kuzitimbelea nchi kadhaa za bara Afrika.
-
Abu Zuhri: Kinachoipambanua Iran na nchi nyingine, ni uungaji mkono wake wa wazi kwa taifa la Palestina
Oct 22, 2017 04:08Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, jambo liloipambanua Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi nyingine ni uungaji mkono wake wa wazi kwa malengo matukufu ya Palestina.
-
HAMAS yasisitiza kuimarishwa uhusiano wake na Iran
Oct 22, 2017 04:06Mkuu wa masuala ya kigeni wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo ina hamu ya kustawisha uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga zote.
-
Tishio la Wamarekani kuanzisha machafuko mapya Asia Magharibi
Oct 20, 2017 09:02Maafisa wawili wa ngazi za juu kiusalama nchini Mrekani wamefichua mipango mipya ya serikali ya nchi hiyo ya kuzua vurugu na machafuko katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora
Oct 19, 2017 04:16Afisa wa ngazi za juu wa kijeshi nchini Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake mkubwa wa makombora.
-
Mogherini: JCPOA ni ushindi kwa ulimwengu na kwa wananchi wa Iran
Oct 17, 2017 23:55Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kwa mara nyengine tena umuhimu wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na ulazima wa kuyalinda na ameeleza kwamba: kwa makubaliano haya ya kimataifa, ulimwengu pamoja na wananchi wa Iran wamepata ushindi.
-
Sayyari: Tamko la kipumbavu la Trump haliwezi kubadilisha "Ghuba ya Uajemi"
Oct 17, 2017 23:19Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Majini cha Iran amesema kauli ya kupotosha na ya kipumbavu iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani alipokuwa akitoa hutuba dhidi ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hivi karibuni haiwezi kubadilisha jina la asili la "Ghuba ya Uajemi".
-
Umoja wa Ulaya wasisitiza utekelezwaji kikamilifu mapatano ya nyuklia ya Iran
Oct 17, 2017 04:36Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya Jumatatu baada ya kumalizika kikao chao mjini Luxembourg walitoa taarifa na kutuangaza kuunga mkono na kuendeleza ushirikiano kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA.
-
Clinton: Trump ameifanya Marekani ionekane nchi ya kijinga kuhusu Iran
Oct 17, 2017 00:53Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton amesema hatua ya Rais Donald Trump ya kuvuruga mapatano ya nyuklia ya Iran ya mwaka 2015 ni jambo ambalo limeifanya Marekani ionekane kuwa nchi duni na ya kijinga.