Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Wachezaji na uongozi wa timu ya taifa ya soka ya Iran wakutana na Rais Rouhani

    Wachezaji na uongozi wa timu ya taifa ya soka ya Iran wakutana na Rais Rouhani

    Jun 14, 2017 11:04

    Wachezaji na uongozi wa timu ya taifa ya soka ya Iran wamekutana na Rais Hassan Rouhani.

  • Kenya na Iran zajadili mgogoro kati ya Qatar, Saudia na wapambe wake

    Kenya na Iran zajadili mgogoro kati ya Qatar, Saudia na wapambe wake

    Jun 14, 2017 03:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuwa, mgogoro unaoshuhudiwa hivi sasa katika eneo hili la Mashariki ya Kati yumkini ukapelekea madola fulani kuongeza kiwango cha ununuzi wa silaha.

  • Brig. Jenerali Jazayeri: Marekani, Saudia ni waongozaji wa ugaidi wa Daesh

    Brig. Jenerali Jazayeri: Marekani, Saudia ni waongozaji wa ugaidi wa Daesh

    Jun 14, 2017 00:08

    Msemaji wa Majeshi ya Iran amesema Marekani na Saudi Arabia ndio waongozaji na waungaji mkono wakuu wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.

  • Iran yafuzu fainali kucheza Kombe la Dunia 2018 Russia

    Iran yafuzu fainali kucheza Kombe la Dunia 2018 Russia

    Jun 14, 2017 00:06

    Timu ya soka ya taifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa timu ya pili kujikatia tiketi ya michuano ya kombe la dunia hapo mwakani huko nchini Russia baada ya kuigaragaza timu ya Uzbekstan mbao 2 kwa nunge.

  • Zarif: Wakuu wa Saudia wametangaza wazi wataleta vita ndani ya Iran

    Zarif: Wakuu wa Saudia wametangaza wazi wataleta vita ndani ya Iran

    Jun 13, 2017 09:11

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, "wakuu wa Saudi Arabia wametangaza wazi kuwa watahamishia vita ndani ya Iran na hili ni tishio la moja kwa moja."

  • Iran yaangamiza magaidi wanne wa ISIS na kunasa silaha na bendera

    Iran yaangamiza magaidi wanne wa ISIS na kunasa silaha na bendera

    Jun 12, 2017 21:56

    Maafisa wa usalama kusini mwa Iran wamefanikiwa kuwaangamzia magaidi wanne wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh sambamba na kunasa silaha walizokuwa nazo pamoja na bendera ya kundi hilo la kigaidi.

  • Algeria kuimarisha ushirikiano na Iran katika vita dhidi ya ugaidi

    Algeria kuimarisha ushirikiano na Iran katika vita dhidi ya ugaidi

    Jun 12, 2017 03:22

    Algeria imelaani vikali mashambulizi pacha ya kigaidi yaliyotokea hivi karibuni hapa mjini Tehran na kusema kuwa, itaendelea kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika vita vya kuyatokomeza magenge ya kigaidi.

  • Iran: Waislamu tuwe macho; mashambulizi ya kigaidi ya Tehran hayana uhusiano na madhehebu yoyote ya Kiislamu

    Iran: Waislamu tuwe macho; mashambulizi ya kigaidi ya Tehran hayana uhusiano na madhehebu yoyote ya Kiislamu

    Jun 10, 2017 23:55

    Ubalozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mji wa Hyderabad nchini India umejibu madai ya gazeti la Times of India na kusisitiza kuwa waliofanya mashambulizi ya kigaidi ya mjini Tehran ni magaidi na hawana uhusiano wowote na madhehebu ya Kisuni.

  • Magaidi 41 wa kundi la ukufurishaji la Daesh (ISIS) watiwa mbaroni nchini Iran

    Magaidi 41 wa kundi la ukufurishaji la Daesh (ISIS) watiwa mbaroni nchini Iran

    Jun 09, 2017 23:32

    Wizara ya Usalama wa Taifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa maalumu na kutangaza kuwa wanachama 41 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wametiwa mbaroni hapa nchini.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; kushindwa mfumo wa Ubeberu kuiteteresha irada ya taifa la Iran

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; kushindwa mfumo wa Ubeberu kuiteteresha irada ya taifa la Iran

    Jun 09, 2017 11:16

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuhusiana na mashambulio ya kigaidi ya Tehran kuwa taifa la Iran linaendelea kusonga mbele na kwamba harakati za aina hiyo haziwezi kuathiri na kuteteresha irada na azma ya wananchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS