Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Rais Rouhani kutetea kiti chake katika uchaguzi wa mwezi Mei, asema si ruhusa vikosi, mali za serikali kutumika katika kampeni

    Rais Rouhani kutetea kiti chake katika uchaguzi wa mwezi Mei, asema si ruhusa vikosi, mali za serikali kutumika katika kampeni

    Feb 26, 2017 12:55

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya bunge amesema kuwa, Rais Hassan Rouhani ameamua kutetea kiti chake katika uchaguzi wa Rais unaotarajiwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu.

  • Mazoezi ya kijeshi ya Iran yana ujumbe wa amani

    Mazoezi ya kijeshi ya Iran yana ujumbe wa amani

    Feb 26, 2017 03:57

    Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema lengo la mazoezi ya majini ya Wilayat 95 ni kutuma ujumbe wa amani na urafiki kwa nchi za eneo sambamba na kuinua kiwango cha kujihami Iran.

  • Jumapili, 26 Februari, 2017

    Jumapili, 26 Februari, 2017

    Feb 26, 2017 02:56

    Leo ni Jumapili tarehe 28 Jamadal-Awwal 1438 Hijria mwafaka na Februari 26, mwaka 2017 Miladia.

  • Iran; Mwenyekiti wa kundi la 77 la UN

    Iran; Mwenyekiti wa kundi la 77 la UN

    Feb 24, 2017 23:10

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imechukua uwenyekiti wa nchi za kundi la 77 la Umoja wa Mataifa.

  • Zimbabwe: Tutaendelea kushirikiana na Iran kutetea Wapalestina

    Zimbabwe: Tutaendelea kushirikiana na Iran kutetea Wapalestina

    Feb 23, 2017 09:49

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amezikosoa baadhi ya nchi zinazojiita za Kiislamu kwa kushindwa kusimama kidete kutetea maslahi ya Wapalestina.

  • Dehqan: Juhudi za Israel za kuunda muungano dhidi ya Iran zitafeli

    Dehqan: Juhudi za Israel za kuunda muungano dhidi ya Iran zitafeli

    Feb 22, 2017 00:36

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema juhudi za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuunda muungano dhidi ya Iran hazitafua dafu.

  • Zarif: Iran ni mshirika wa uhakika wa kibiashara kwa ajili ya Ulaya

    Zarif: Iran ni mshirika wa uhakika wa kibiashara kwa ajili ya Ulaya

    Feb 21, 2017 04:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran ni mshirika wa uhakika wa kibiashara kwa ajili ya Ulaya.

  • Zarif: Marekani iache kutoa vitisho dhidi ya Iran

    Zarif: Marekani iache kutoa vitisho dhidi ya Iran

    Feb 21, 2017 00:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Muhammad Javad Zarif amesema hatua ya Marekani ya kutaka kuiwekea vikwazo vipya Iran inalenga kuichochea Tehran, na ameitaka nchi hiyo iache kutoa vitisho dhidi ya taifa hili.

  • Wapalestina: Uungaji mkono wa Iran kwa Palestina ndio umeifanya Saudia iichukie Tehran

    Wapalestina: Uungaji mkono wa Iran kwa Palestina ndio umeifanya Saudia iichukie Tehran

    Feb 20, 2017 04:07

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Ukombozi wa Palestina amesema kuwa, Saudia inapingana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na hatua ya Tehran kuiunga mkono Palestina.

  • Qassemi: Rasimu ya azimio la Sweden dhidi ya Iran, njama za US, Israel

    Qassemi: Rasimu ya azimio la Sweden dhidi ya Iran, njama za US, Israel

    Feb 19, 2017 04:20

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mpango wa Sweden wa kuwasilisha katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, rasimu ya azimio dhidi ya Iran ni mwendelezo wa kampeni za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel za kueneza chuki dhidi ya taifa hili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS