-
Meli za jeshi la Iran zatia nanga katika bandari ya Durban
Nov 26, 2016 04:31Meli za kikosi cha upelelezi cha operesheni ya mabaharia 44 wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, zimewasili katika bandari ya Durban, Afrika Kusini.
-
Ijumaa, 25 Novemba, 2016
Nov 24, 2016 23:30Leo ni Ijumaa tarehe 25 Safar 1438 Hijria sawa na Novemba 25, 2016.
-
Marekani yaihakikishia Brazil kuhusu kutoiwekea vikwazo
Nov 24, 2016 04:29Afisa mmoja wa ngazi za juu wa Brazil amesema kuwa Marekani imeihakikishia nchi yake kwamba haitaiyawekea vikwazo mashirika na benki zake zinazofanya biashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Alkhamisi, 24 Novemba, 2016
Nov 24, 2016 02:33Leo ni Alkhamisi tarehe 24 Safar 1438 Hijria sawa na Novemba 24, 2016.
-
Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa uhusiano wa Iran na Slovenia
Nov 22, 2016 13:26Rais Hassan Rouhani amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Slovania zimeazimia kwa dhati kustawisha uhusiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali zikiwemo za kiuchumi na kisiasa.
-
Bunge la Iran lalaani hatua ya Bunge la Marekani
Nov 22, 2016 12:59Wajumbe wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, wamelaani hatua ya wajumbe wa Bunge la Marekani kurefusha kwa muda wa miaka 10 sheria ya kuiwekea Iran vikwazo.
-
Iran na Umoja wa Afrika; uandaaji wa fursa kwa ajili ya ushirikiano katika uga wa usalama na amani
Nov 22, 2016 09:39Kamishna Mkuu wa Baraza la Usalama na Amani la Umoja wa Afrika amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya nchi za Kiarabu na Kiafrika.
-
Iran: Ugaidi ni tishio kwa nchi za Afrika na Asia Magharibi
Nov 22, 2016 04:30Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye anashughulikia masuala ya nchi za Kiarabu na Kiafrika amesema ugaidi ni tatizo la kimataifa na tishio la pamoja kwa nchi za bara Afrika na eneo la magharibi mwa bara Asia.
-
Jumanne 22 Novemba, 2016
Nov 21, 2016 23:11Leo ni Jumanne tarehe 22 Safar 1438 Hijria sawa na Novemba 22, 2016.
-
Udiplomasia wa Saudia; kuharibu uhusiano wa Iran kieneo na kimataifa
Nov 21, 2016 08:29Duru za kisiasa zenye mfungamano na Wasaudia katika siku za hivi karibuni zimezidisha harakati na lobi za kisiasa dhidi ya Iran. Lengo la harakati hizo ni kuiiweka chini ya mashinikizo Iran kieneo na kimataifa.