-
Ulimwengu wa Spoti, Nov 21
Nov 21, 2016 04:30Mkusanyiko wa matukio kemkem ya spoti kutoka kila pembe ya dunia ndani ya siku saba zilizopita.........
-
Kwa mara nyingine Saudia yatoa tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran
Nov 20, 2016 12:41Ubalozi wa Saudia nchini Misri umetoa madai yasiyo na msingi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba eti inaingilia masuala ya ndani ya nchi za Kiarabu.
-
Wairani waungana na dunia katika kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS
Nov 20, 2016 04:47Wananchi wa matabaka yote wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameungana na dunia katika kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, aliyeuawa shahidi katika jangwa la Karbala nchini Iraq, mwaka wa 61 Hijria.
-
Jumapili, 20 Novemba, 2016
Nov 20, 2016 02:29Leo ni Jumapili tarehe 20 Swafar 1438 Hijria, sawa na tarehe 20 Novemba mwaka 2016 Miladia.
-
Iran na Ufaransa zasisitiza umuhimu wa kutekelezwa JCPOA
Nov 19, 2016 04:35Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufaransa zimesisitizia umuhimu wa kutekelezwa makubaliano ya nyuklia ya Vienna, yaliyosainiwa kati ya Iran na nchi za kundi la 5+1.
-
Hatua mpya ya Bunge la Marekani dhidi ya Iran
Nov 19, 2016 04:32Wawakilishi wa Bunge la Marekani ambalo linadhibitiwa na Warepublican juzi walipasisha mpango ambao unazuia kuiuzia Iran ndege zaidi ya 100 za abiria aina ya Boeing.
-
Jumamosi, Novemba 19, 2016
Nov 18, 2016 23:06Leo ni Jumamosi tarehe 19 Mfunguo Tano Safar 1438 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Novemba 2016 Miladia.
-
Iran: Madola makubwa yasivuruge mapatano ya nyuklia
Nov 18, 2016 00:53Balozi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesema madola sita makubwa duniani ya kundi la 5+1 hayapaswi kuchukua hatua za kuvuruga utekelezaji mapatano ya nyuklia baina yao na Tehran.
-
Hamas yakadhibisha madai ya kuwepo mgogoro katika uhusiano wake na Iran
Nov 17, 2016 12:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekadhibisha madai ya kuwepo mgogoro katika uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Majibu ya mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa kwa madai ya Imarati
Nov 17, 2016 07:48Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Katibu Mkuu wa umoja huo kujibu madai ya hivi karibuni ya Imarati na kusema ni kichekesho kuona kuwa tawala ambazo zenyewe ndizo zinazolea na kueneza misimamo mikali na fikra za ukufurishaji nchini Iraq na Syria zinawalaumu wengine kuwa eti wanaunga mkono ugaidi.