Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Press TV: Duru ya pili ya mazungumzo ya Iran na Marekani imefanyika Rome katika 'anga chanya'

    Press TV: Duru ya pili ya mazungumzo ya Iran na Marekani imefanyika Rome katika 'anga chanya'

    Apr 19, 2025 11:02

    Duru ya pili ya mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani imefanyika katika mji mkuu wa Italia, Rome leo Jumamosi katika "anga chanya". Hayo yameelezwa na ripota wa chaneli ya televisheni ya Press TV.

  • Saudi Arabia, Iran zinasisitiza azma ya kupanua uhusiano wao wa kijeshi

    Saudi Arabia, Iran zinasisitiza azma ya kupanua uhusiano wao wa kijeshi

    Apr 18, 2025 03:58

    Iran imesisitiza juu ya utayarifu wake wa kupanua uhusiano wa kijeshi na Saudi Arabia, wakati huu ambapo Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo ya Kiarabu, Mwanamfalme Khalid bin Salman yuko hapa Tehran tangu jana Alkhamisi kujadili usalama katika eneo hili.

  • Pezeshkian: Iran, Saudia zinaweza kuwa kielelezo cha ushirikiano wa kikanda

    Pezeshkian: Iran, Saudia zinaweza kuwa kielelezo cha ushirikiano wa kikanda

    Apr 18, 2025 03:46

    Rais wa Iran Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia zinaweza kuwa kielelezo cha ushirikiano wa kieneo na kusisitiza kuwa, umoja wa nchi za Kiislamu ni sharti la kupatikana amani, usalama na maendeleo endelevu ya kiuchumi katika eneo hili.

  • Waziri wa Ulinzi wa Saudia yupo Tehran kujadili uhusiano wa pande mbili, masuala ya kieneo

    Waziri wa Ulinzi wa Saudia yupo Tehran kujadili uhusiano wa pande mbili, masuala ya kieneo

    Apr 17, 2025 10:05

    Waziri wa Ulinzi wa Saudi Arabia, Mwanamfalme Khalid bin Salman Aal-Saud amewasili Tehran leo Alkhamisi kwa ziara muhimu inayolenga kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Tehran na Riyadh, na kujadili masuala ya kieneo.

  • Araghchi: IAEA inaweza kutatua kwa amani faili la nyuklia la Iran

    Araghchi: IAEA inaweza kutatua kwa amani faili la nyuklia la Iran

    Apr 17, 2025 09:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) unaweza kuwa na nafasi na jukumu muhimu katika utatuzi wa amani wa suala la nyuklia la Jamhuri ya Kiislamu.

  • Grossi asisitiza nafasi ya diplomasia katika suala la nyuklia la Iran

    Grossi asisitiza nafasi ya diplomasia katika suala la nyuklia la Iran

    Apr 17, 2025 09:13

    Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), aliwasili Tehran Jumatano, Aprili 16, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na Sayyid Abbas Araqchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, na Mohammad Eslami, Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran.

  • NYT: Trump alipinga pendekezo la Israel la kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran

    NYT: Trump alipinga pendekezo la Israel la kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran

    Apr 17, 2025 09:11

    Rais wa Marekani, Donald Trump amekataa pendekezo la Israel la kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran, gazeti la New York Times liliripoti hayo Jumatano jioni, likiwanukuu maafisa wa Ikulu ya White House na maafisa wengine wanaofahamu suala hilo.

  • Iran yasisitiza kuhusu kulindwa misingi ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa

    Iran yasisitiza kuhusu kulindwa misingi ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa

    Apr 15, 2025 22:49

    Katika mkutano wa ngazi ya juu wa Kundi la Marafiki wa Kulinda Mkataba wa Umoja wa Mataifa uliofanyika Moscow, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisheria na kimataifa, Kazem Gharibabadi, amesisitiza umuhimu wa kufufua mfumo wa kimataifa wa pande nyingi (multilateralism) na kulinda misingi ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa.

  • Kuimarishwa biashara kati ya Iran na Eurasia; hatua ya kimkakati

    Kuimarishwa biashara kati ya Iran na Eurasia; hatua ya kimkakati

    Apr 15, 2025 11:14

    Biashara kati ya Iran na Umoja wa Kiuchumi wa Nchi za Eurasia imekuwa ikistawi siku hadi siku licha ya vikwazo vikubwa vya kiuchumi vilivyowekwa na Magharibi dhidi ya Iran. Kwa mujibu wa tawimu mpya zilizotolewa hivi karibuni, uuzaji bidhaa za Iran kwa nchi wanachama wa umoja huo katika mwaka uliopita uliongezeka kwa asilimia 20 na kufikia karibu dola bilioni mbili.

  • Iran yabainisha wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya watu wa Al-Fasher, Sudan

    Iran yabainisha wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya watu wa Al-Fasher, Sudan

    Apr 15, 2025 06:44

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amebainisha wasiwasi wake juu ya hali mbaya ya kibinadamu ya watu wa mji wa Al-Fasher uliozingirwa huko Sudan, na ametaka kuondolewa kwa mzingiro huo, kusitishwa kwa mashambulizi, na kulindwa kwa maisha ya raia kwa mujibu wa misingi ya sheria za kimataifa za kibinadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS