Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran, Lebanon, Iraq, Yemen zaanza luteka ya kuwaunga mkono Wapalestina Gaza

    Iran, Lebanon, Iraq, Yemen zaanza luteka ya kuwaunga mkono Wapalestina Gaza

    Mar 27, 2025 08:00

    Vikosi vya Baharini vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) pamoja na vikosi kutoka Lebanon, Iraq na Yemen, vinafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya majini katika 'maonyesho ya nguvu' dhidi ya Israel na kutangaza mshikamano na Wapalestina huko Gaza.

  • Tehran yaihutubu EU: Shughulikieni jinai za Israel badala ya kutoa madai ya kinafiki

    Tehran yaihutubu EU: Shughulikieni jinai za Israel badala ya kutoa madai ya kinafiki

    Mar 27, 2025 07:38

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baghaei amemkosoa vikali mkuu mpya wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Kaja Kallas, kutokana na matamshi yake ya karibuni ya kuitaja Iran kama "tishio" wakati wa ziara yake ya karibuni katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu na Israel.

  • Mkuu wa Kikosi cha Quds: Iran itaendelea kuwa bega kwa bega na Palestina kwa operesheni za kijeshi

    Mkuu wa Kikosi cha Quds: Iran itaendelea kuwa bega kwa bega na Palestina kwa operesheni za kijeshi

    Mar 27, 2025 02:58

    Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko thabiti katika msimamo wake wa kuunga mkono kadhia ya Palestina kupitia uungaji mkono wa moja kwa moja kwa vikosi vya Muqawama na kwa operesheni za kijeshi kama zile za Ahadi ya Kweli.

  • Balozi wa Iran akosoa kuenea chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi

    Balozi wa Iran akosoa kuenea chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi

    Mar 27, 2025 00:39

    Ali Bahraini, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva, amekosoa kuenea kwa chuki dhidi ya Uislamu au kwa maneno mengine Islamophobia katika nchi za Magharibi

  • Iran: Wakimbizi wa Afghanistan watarejeshwa kwao kwa heshima

    Iran: Wakimbizi wa Afghanistan watarejeshwa kwao kwa heshima

    Mar 25, 2025 03:14

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, viongozi wa Iran na Afghanistan wameandaa utaratibu mzuri wa pamoja wa kuwawezesha wakimbizi wa Afghanistan waliopo nchini Iran warejee nchini kwao kwa heshima.

  • Iran yatahadharisha kuhusu athari za vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kwa usalama wa dunia

    Iran yatahadharisha kuhusu athari za vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kwa usalama wa dunia

    Mar 24, 2025 05:06

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira za vita vipya vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kwa usalama na amani ya kimataifa.

  • Kamanda: Jeshi la Iran litawaponda maadui wakifanya kosa lolote

    Kamanda: Jeshi la Iran litawaponda maadui wakifanya kosa lolote

    Mar 23, 2025 07:26

    Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Brigedia Jenerali Kiumars Heidari amesema kikosi chake kiko macho na tayari kabisa kuwaangamiza maadui endapo watathubutu kufanya makosa yoyote dhidi ya taifa hili.

  • Ujumbe unaogongana wa Marekani kwa Iran: Salamu za Nowruz zilizowekwa viungo vya kushadidisha vikwazo

    Ujumbe unaogongana wa Marekani kwa Iran: Salamu za Nowruz zilizowekwa viungo vya kushadidisha vikwazo

    Mar 22, 2025 22:52

    Katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Kiirani wa 1404 Hijiria Shamsia, Wizara ya Fedha ya Marekani imeiwekea Iran vikwazo vipya, ambavyo vinalenga idara kadhaa, meli na watu binafsi, huku Rais Donald Trump wa nchi hiyo, akidai kuwatakia Wairani heri ya mwaka mpya. Kwa maneno mengine ni kuwa, salamu za Nowruz za Wamarekani kwa Wairani zimewekwa viungo vya kushadidisha vikwazo na mashinikizo dhidi yao.

  • Imam Khamenei: Iwapo Wamarekani watafanya uhabithi kwa taifa la Iran, watazabwa kofi kali

    Imam Khamenei: Iwapo Wamarekani watafanya uhabithi kwa taifa la Iran, watazabwa kofi kali

    Mar 21, 2025 11:13

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameionya Marekani dhidi ya kutumia lugha ya vitisho dhidi ya Iran.

  • Kiongozi wa Mapinduzi: Mwaka 1404 ni

    Kiongozi wa Mapinduzi: Mwaka 1404 ni "Mwaka wa Uwekezaji kwa ajili ya Uzalishaji"

    Mar 20, 2025 07:42

    Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu uwa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1404 hijria shamsia na kuutaja mwaka huu mpya kuwa ni "Mwaka wa Uwekezaji kwa ajili ya Uzalishaji."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS