-
Mkesha wa kwanza wa Laylatul Qadr waadhimishwa Iran na maeneo mengine duniani
Mar 20, 2025 03:14Usiku wa kuamkia leo Alkhamisi yaani mwezi 19 Ramadhani, ulikuwa ni mkesha wa kwanza wa Laylatul Qadr na umeadhimishwa katika kona zote za Iran na maeneo mengine duniani.
-
Baghaei: Machi 19 ni uthibitisho wa dhamira ya Wairani ya kupinga uonevu
Mar 19, 2025 23:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa tarehe 29 Isfand (Machi 19), ambayo ni maadhimisho ya siku ya kufanywa mafuta ya Iran kuwa ni mali ya taifa, ni ushahidi wa azma ya kweli ya wananchi wa Iran ya kupinga uonevu.
-
Onyo la Iran kwa Marekani kuhusu matokeo mabaya ya uchokozi wa aina yoyote
Mar 19, 2025 23:04Amir Saeed Irvani, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa alitahadharisha katika barua yake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatatu kwamba, hatua zozote za kichokozi zitakazofanywa na Marekani zitakuwa na matokeo mabaya na hatari mno.
-
Iran yakosoa vikali uingiliaji wa nchi za Magharibi katika kazi za Baraza la Haki za Kibinadamu UN
Mar 19, 2025 00:45Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amezikosoa vikali baadhi ya nchi za Magharibi kwa kutumia vibaya taasisi za Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, nchi hizo zinataka kuingiza siasa katika masuala ya haki za binadamu dhidi ya Iran kwa kupuuza masuala ya kimsingi ya haki za binadamu ukiwemo mgogoro wa Palestina.
-
Sisitizo la Iran la kukabiliana na siasa za mabavu za Marekani
Mar 17, 2025 06:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Seyed Abbas Araghchi alisema Jumapili, Machi 16, katika kujibu matamshi ya kibabe na ya uingiliaji ya viongozi wa Marekani dhidi ya Iran, kwamba serikali ya Washington haina haki ya kuilazimisha Iran itekeleze siasa za kigeni zinazoendana na maslahi ya Washington.
-
Iran: Marekani haina haki ya kutupangia tufuate siasa gani
Mar 16, 2025 02:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe akisisitiza kuwa, Marekani haina haki ya kutupangia tufuate siasa gani za kigeni.
-
Mgongano wa maneno na vitendo vya seriakli ya Trump kuhusu Iran
Mar 15, 2025 22:48Licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kuzungumzia mara kwa mara nia yake ya kufanya mazungumzo na Iran katika miezi ya kwanza ya muhula wake wa pili wa urais na hata kutuma barua kuhusiana na suala hilo kwa Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, lakini kivitendo amekuwa akitekeleza mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran na kuchukua hatua mpya katika uwanja huo kila siku.
-
Faili la nyuklia la Iran: Tehran yawaita mabalozi wa UK, Ufaransa, Ujerumani
Mar 13, 2025 23:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusu jaribio lao la pamoja na Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, dhidi ya mradi wa nyuklia wa Iran wenye malengo ya amani.
-
Russia yataka kuhuishwa makubaliano ya JCPOA
Mar 13, 2025 23:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov amesisitiza uungaji mkono wa Moscow kwa kufufuliwa mkataba wa kihistoria uliotiwa saini na Iran na mataifa mengine sita yenye nguvu duniani mwaka 2015.
-
Pezeshkian: Bora tufe kwa heshima, lakini hatutaishi kwa udhalili
Mar 12, 2025 03:45Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa vikali mwenendo wa kimaksi wa utawala wa Donald Trump dhidi ya Iran na kueleza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu sio Ukraine, na katu haitafanya mazungumzo na Marekani katika mazingira ya vitisho au kulazimishwa.