-
Sisitizo la Iran la kuendeleza mazungumzo na kubakisha machaguo yake, kuanzia makombora hadi ufungaji wa Lango-bahari la Hormuz
Feb 16, 2026 11:07Wakati mivutano kati ya Iran na Marekani inazidi kuongezeka, Tehran imesisitiza kuwa, machaguo yake yote yako mezani, licha ya mazungumzo yanayoendelea baina yake na Washington.
-
Araqchi: Sarakasi ya Munich dhidi ya Iran imedhihirisha namna Ulaya ilivyopoteza ushawishi wake wa kijiopolitiki
Feb 15, 2026 08:00Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Mkutano wa Usalama wa Munich uliokua na mtazamo dhidi ya Iran umegeuka na kuwa kongamano la sakarakasi na hivyo kudhihirisha namna Ulaya ilivyopoteza ushawishi wake wa kijiopolitiki na umuhimu wa kistratejia.
-
Baqaei: Mashinikizo ya kisiasa hayawezi kudhoofisha haki ya Iran ya kurutubisha urani
Feb 15, 2026 07:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa haki "isiyoweza kubatilishwa" ya Iran ya kurutubisha madini ya urani haiwezi kudhoofishwa na mashinikizo ya kisiasa.
-
Kwa nini Grossi amekiri haki ya Iran ya kurutubisha urani?
Feb 13, 2026 11:21Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekiri kwamba, Iran kama nchi iliyotia saini Mkataba wa Kuzuia Uenezaji wa Silaha za Nyuklia (NPT), ina haki ya kurutubisha urani.
-
Kiongozi Muadhamu awashukuru wananchi kwa kuwakatisha tamaa maadui katika maandamano ya mamilioni ya watu
Feb 13, 2026 07:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amewasifu na kuwapongeza wananchi wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi kote nchini katika maandamano ya maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa maandamano hayo yamewakatisha tamaa maadui.
-
Ijumaa, 13 Februari, 2026
Feb 13, 2026 02:24Leo ni Ijumaa 24 Sha'ban 1447 Hijria sawa na 13 Februari 2026.
-
Mkuu wa IAEA: Iran-mwanachama wa NPT, ina haki ya kurutubisha urani
Feb 13, 2026 02:04Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), amesema katika mahojiano na gazeti la Financial Times kwamba, Iran kama nchi iliyotia saini Mkataba wa Kuzuia Uenezaji wa Silaha za Nyuklia (NPT), ina haki ya kurutubisha urani.
-
Pezeshkian apongeza hamasa kubwa ya wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya tarehe 22 Bahman
Feb 12, 2026 11:24Rais Masoud Pezeshkian amewapongeza na kuwashukuru wananchi wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi "katika hamasa ya aina yake" katika maandamano ya kitaifa kote nchini ya maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Admeri Shamkhani asisitiza: Mpango wa makombora wa Iran hautajadiliwa katu
Feb 12, 2026 06:31Uwezo wa makombora ya balestiki ya Iran ni "mstari mwekundu" ambao hautawekwa katu kwenye meza ya mazungumzo. Hayo yameelezwa na afisa wa ngazi ya juu wa ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Baada ya mkutano wake na Netanyahu, Trump asema mazungumzo na Iran inapasa yaendelee
Feb 12, 2026 06:31Rais wa Marekani Donald Trump ameeleza baada ya kukutana na waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba mkutano huo ulikuwa "mzuri sana" na akasema: "nimesisitiza kwamba mazungumzo na Iran inapasa yaendelee."