Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Afrika

  • Spika wa Bunge la Iran aelezea masikitiko yake kwa serikali na watu wa Libya baada ya mafuriko

    Spika wa Bunge la Iran aelezea masikitiko yake kwa serikali na watu wa Libya baada ya mafuriko

    Sep 13, 2023 23:25

    Katika ujumbe wake kwa Spika mwezake wa Bunge la Libya, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameelezea masikitiko yake kwa serikali na wananchi wa Libya kufuatia maafa makubwa ya roho na mali za watu yaliyosababishwa na mafuriko makubwa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika

  • Iran yasikitishwa na zilzala iliyoua maelfu Morocco; kutuma nchini humo misaada ya kibinadamu

    Iran yasikitishwa na zilzala iliyoua maelfu Morocco; kutuma nchini humo misaada ya kibinadamu

    Sep 10, 2023 07:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kutuma misaada ya kibinadamu nchini Morocco, kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililoua maelfu ya watu.

  • Raisi: Mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni ni ishara ya mwamko na kuwa macho

    Raisi: Mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni ni ishara ya mwamko na kuwa macho

    Sep 04, 2023 10:36

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza kusimama kidete na mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni na ugaidi, na kuyataja kuwa ni ishara ya mwamko, kuwa macho na utambuzi sahihi wa mahitaji ya zama ya nchi hizo.

  • Raisi: Iran inajitahidi kuwa na uhusiano wa pande mbili uliokita mizizi katika kuheshimiana na mataifa ya Afrika

    Raisi: Iran inajitahidi kuwa na uhusiano wa pande mbili uliokita mizizi katika kuheshimiana na mataifa ya Afrika

    Aug 25, 2023 09:08

    Rais wa Iran Ebrahim Raisi anasema Tehran inataka kuwa na uhusiano na nchi za Kiafrika kwa kuzingatia msingi wa kuheshimiana na kufaidika, kinyume cha mataifa ya Magharibi ambayo yanataka tu kupora maliasili na utajiri wa Afrika.

  • Rais Ibrahim Raisi: Iran iko tayari kushirikiana na Tanzania katika nyuga mbalimbali

    Rais Ibrahim Raisi: Iran iko tayari kushirikiana na Tanzania katika nyuga mbalimbali

    Aug 24, 2023 23:40

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wa Iran wa kushirikiana na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nyanja mbalimbali kama za kutoa huduma za uhandisi wa kiufundi, ujenzi wa mabwawa, mitambo ya kuzalisha umeme, kilimo na viwanda.

  • Rais wa Iran awasili Afrika Kusini kushiriki mkutano wa kilele wa BRICS

    Rais wa Iran awasili Afrika Kusini kushiriki mkutano wa kilele wa BRICS

    Aug 24, 2023 04:23

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran amewasili Pretoria, mji mkuu wa kiutawala wa Afrika Kusini, alikoenda kushiriki mkutano wa kilele wa Jumuiya ya BRICS.

  • Iran na Algeria zasisitiza kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kimataifa

    Iran na Algeria zasisitiza kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kimataifa

    Aug 21, 2023 09:42

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran na mwenzake wa Algeria wamesisitiza udharura wa kustawishwa uhusiano wa kiuchumi, kieneo na kimataifa wa pande mbili.

  • Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak

    Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak

    Aug 21, 2023 07:39

    Balozi wa Kenya mjini Tehran ametembelea viwanda vya uzalishaji katika mji wa Arak, makao makuu ya mkoa wa Markazi, unaofahamika kama mji mkuu wa viwanda wa Iran.

  • Iran na Afrika Kusini katika mkondo wa kuhuisha kikamilifu mahusiano

    Iran na Afrika Kusini katika mkondo wa kuhuisha kikamilifu mahusiano

    Aug 11, 2023 07:34

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki hii aliekea Pretoria Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 15 wa Kamisheni ya Pamoja ya Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika Kusini na kukutana na viongozi mbalimbali wa taifa hilo.

  • Mehdi Safari: Iran inaweza kuimarisha uhusiano wake na BRICS licha ya vikwazo

    Mehdi Safari: Iran inaweza kuimarisha uhusiano wake na BRICS licha ya vikwazo

    Aug 08, 2023 11:41

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya uchumi amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu inaweza kuanzisha uhusiano na kundi la BRICS linaloundwa na nchi zinazoibukia kiuchumi, licha ya kukabiliwa na vikwazo haramu vya Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS