-
Rais Raisi: Kuipa umuhimu Afrika ni moja ya mihimili mikuu ya sera za nje za Iran
Jun 01, 2022 03:37Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuipa umuhimu Afrika ni moja ya mihimili mikuu ya sera za nje za Tehran.
-
Balozi: Safari ya Rais wa Iran nchini Afrika Kusini itaimarisha uhusiano wa nchi mbili
May 31, 2022 21:01Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amesema safari tarajiwa ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Afrika Kusini katika mwezi wa Oktoba au Novemba mwaka huu itakuwa fursa ya kuimarisha uhusiano wa nchi mbili.
-
Iran na Afrika Kusini zitilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano baina yao
May 23, 2022 20:48Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa ametilia mkazo wajibu wa kuimarishwa ushirikiano baina ya nchi yake na Afrika Kusini na kusisitiza kuwa, kutiwa nguvu ushirikiano baina ya Tehran na Pretoria ni jambo la dharura sana kwa ajili ya kupambana na fikra potofu ya kila nchi kujikumbizia mambo yote upande wake.
-
Mokhber: Uhusiano wa Iran na nchi za Afrika umeingia mkondo mpya
May 18, 2022 21:56Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi za Afrika ikiwemo Ghana umechukua mkondo mpya.
-
Wizara ya Mambo ya Nje: Usafirishaji wa bidhaa za Iran Afrika umeongezeka kwa 120%
May 10, 2022 22:11Mkuu wa Idara ya Magharibi na Katikati mwa Afrika ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, usafirishaji wa bidhaa kuelekea nchi za bara la Afrika umeongezeka kwa asilimia 120.
-
Rais wa Iran aipongeza Afrika Kusini kwa kuadhimisha Siku ya Taifa
Apr 27, 2022 22:20Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi mwenzake wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa kwa mnasaba wa taifa hilo la Kiafrika kuadhimisha Siku ya Taifa.
-
Iran na Mauritania zahimiza kuimarisha ushirikiano wao katika nyuga zote
Apr 20, 2022 03:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Mauritania na kutilia mkazo udharura wa kuimarishwa uhusiano wa Tehran na Nouakchott katika nyuga zote.
-
Kenya na Iran kuimarisha uhusiano wao katika nyuga za utalii na uwekezaji
Apr 19, 2022 03:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kenya zimeazimia kusaini makubaliano ya maelewano juu ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga za uwezekaji na utalii.
-
Usafirishaji wa bidhaa za Iran nchini Afrika Kusini waongezeka kwa asilimia 500
Apr 18, 2022 21:44Mkuu wa Shirika la Ustawi wa Kibiashara la Iran limetangaza kuwa, usafirishaji nje bidhaa za Iran umepindukia dola bilioni 13 huku nchi za Afrika Kusini na Ghana zikiongoza kwa barani Afrika.
-
Iran yailaumu Uingereza kwa kuwalazimisha wakimbizi waende nchini Rwanda
Apr 16, 2022 02:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameilaumu serikali ya Uingereza kwa kuwalazimisha wakimbizi walioko nchini humo kwenda nchini Rwanda na amesisitiza kuwa, kufanya hivyo ni kukwepa London majukumu yake ya kimataifa.