-
Russia: Iran iko mstari wa mbele katika kupambana na ugaidi
Jan 16, 2021 13:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametupilia mbali madai ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo ya kuihusisha Iran na Al Qaeda; na akasema, kwa mujibu wa ushahidi uliopo, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yenyewe ni mhanga wa ugaidi na iko mstari wa mbele pia katika kupambana kwa dhati na makundi ya kigaidi.
-
Tatizo la uwepo wa magaidi wa kitakfiri katika mzozo wa Karabakh
Nov 09, 2020 11:22Uwepo wa magaidi wa kitakfiri katika eneo linalogombaniwa la Nagorno Karabakh unaendelea kubadilika taratibu na kuwa tatizo kubwa kwa serikali za eneo.
-
Taathira hasi za kuendelea vita eneo la kusini mwa Kavkazia
Oct 09, 2020 02:36Kwa kuendelea mapigano baina ya Jamhuri ya Azeribaijan na Armenia, hivi sasa pande hasimu katika vita zimepanua wigo kutoka ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuingia katika maeneo yenye umuhimu wa kiuchumi.
-
Lavrov: Russia haikubaliani na takwa la Marekani la kukata ushirikiano na Iran
Sep 25, 2020 02:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi yake haikubaliani na takwa la Marekani la kuitaka ikate ushirikiano wake na Iran.
-
Russia yaunga mkono haki ya Iran ya kustafidi na nishati ya nyuklia
Aug 03, 2020 11:29Mwakilishi wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao yao mjini Vienna Austria amesema kuwa Russia itaunga mkono haki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kustafidi na nishati ya nyuklia.
-
Wito wa Putin wa kuanzishwa jumuiya ya kulinda usalama katika Ghuba ya Uajemi
Oct 05, 2019 13:50Baada ya Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka 2018, Washington iliazisha siasa za kuiwekea Iran mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi. Vikwazo vya kiuchumi visivyo na kifani na mashinikizo makubwa ya Washington yamepelekea kuongezeka mivutano baina ya nchi hizo mbili na baadhi ya matokeo ya hali hiyo ni kuongezeka mivutano katika Lango Bahari la Hormuz na Ghuba ya Uajemi.
-
Novak: Russia kuwekeza zaidi katika sekta ya mafuta ya Iran
Sep 06, 2019 07:54Waziri wa Nishati wa Russia amesema kuwa nchi yake inachunguza uwezekano wa kuwekeza zaidi katika uzalishaji wa mafuta nchini Iran.
-
Russia inataka kuwa mwanachama wa mfumo wa INSTEX
Jun 30, 2019 04:13Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Moscow inataka kujiunga na mfumo maalumu wa mabadilishano ya kifedha kati ya Ulaya na Iran INSTEX kwa kifupi ili kufanya miamala yake ya kifedha na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mazungumzo ya Marais wa Iran na Russia mjini Baku Azerbaijan
Aug 09, 2016 04:26Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamekutana na kufanya mazungumzo mjini Baku Azerbaijan na kujadiliana kuhusiana na matukio ya kieneo na kimataifa.
-
Marais wa Iran na Russia wazungumzia hali ya Syria
Feb 25, 2016 01:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, usitishaji vita nchini Syria haupaswi kuwe fursa ya kuwawezesha magaidi kujiimarisha nchini himo.