Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Al Sudani asisitiza kuondoka haraka wanajeshi vamizi wa Marekani huko Iraq

    Al Sudani asisitiza kuondoka haraka wanajeshi vamizi wa Marekani huko Iraq

    Jan 11, 2024 04:16

    Waziri Mkuu wa Iraq ameashiria hatua za kuvuruga usalama na amani vya Marekani na kutaka kuondoka nchini humo wanajeshi vamizi wa Marekani haraka iwezekanavyo.

  • Njama za Marekani za kuendelea kubakia kijeshi nchini Iraq

    Njama za Marekani za kuendelea kubakia kijeshi nchini Iraq

    Jan 11, 2024 03:44

    Licha ya serikali ya Iraq kuitaka Marekani iondoe wanajeshi wake nchini humo, lakini Washington imetangaza kuwa, haina ratiba yoyote ya kutoka katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Wizara ya Ulinzi ya Marekani: Hatujaweka ratiba yoyote ya kuondoka Iraq

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani: Hatujaweka ratiba yoyote ya kuondoka Iraq

    Jan 10, 2024 02:49

    Patrick Ryder, msemaji wa wizara ya ulinzi ya Marekani, Pentagon amesema, nchi hiyo haina mpango wa kuwaondoa wanajeshi wake walioko nchini Iraq.

  • Azma thabiti ya serikali ya Iraq kuondolewa nchini humo wanajeshi wa Marekani

    Azma thabiti ya serikali ya Iraq kuondolewa nchini humo wanajeshi wa Marekani

    Jan 07, 2024 04:47

    Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza katika msimamo nadra kabisa juu ya ulazima wa kuondoka nchini humo wanajeshi vamizi wa Marekani.

  • Tangu Oktoba 17 vituo vya kijeshi vya Marekani Asia Magharibi vimeshambuliwa mara 115

    Tangu Oktoba 17 vituo vya kijeshi vya Marekani Asia Magharibi vimeshambuliwa mara 115

    Jan 06, 2024 00:17

    Afisa mmoja wa Marekani amekiri kuwa katika muda wa siku 81 zilizopita, ngome na vituo vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika eneo la Asia Magharibi vimeshambuliwa mara 115.

  • Al Hashd al-Shaabi: Iran ilikuwa na nafasi kubwa katika kuihami Baghdad dhidi ya ISIS

    Al Hashd al-Shaabi: Iran ilikuwa na nafasi kubwa katika kuihami Baghdad dhidi ya ISIS

    Dec 31, 2023 08:13

    Mkuu wa harakati ya mapambano ya Iraq maarufu kwa jina la al Hashd al-Shaabi amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilikuwa na nafasi muhimu katika kuihami na kuiunga mkono serikali ya Iraq katika kukabiliana na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).

  • Baghdad: Mashambulizi ya US yamekiuka mamlaka ya kujitawala Iraq

    Baghdad: Mashambulizi ya US yamekiuka mamlaka ya kujitawala Iraq

    Dec 26, 2023 23:23

    Serikali ya Baghdad imelaani vikali mashambulizi dhidi ya kambi tatu za Harakati ya Kataib Hizbullah nchini Iraq yaliyofanywa na vikosi vamizi vya Marekani kwa amri ya Rais Joe Biden na kueleza kuwa, hujuma hizo hazikubaliki na zimekiuka mamlaka ya kujitawala Iraq.

  • Amir-Abdollahian: Kuna haja ya kuimarishwa harakati za kidiplomasia ili kukabiliana na jinai za Wazayuni

    Amir-Abdollahian: Kuna haja ya kuimarishwa harakati za kidiplomasia ili kukabiliana na jinai za Wazayuni

    Dec 25, 2023 03:41

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kuimarishwa juhudi za kidiplomasia kwa shabaha ya kukabiliana na jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Gaza.

  • Kambi ya jeshi ya Ain al-Asad ya US huko Iraq yashambuliwa kwa droni

    Kambi ya jeshi ya Ain al-Asad ya US huko Iraq yashambuliwa kwa droni

    Dec 15, 2023 07:53

    Kwa mara nyingine tena, wanamuqawama wa Kiislamu wa Iraq wamewashambulia kwa ndege isiyo na rubani (droni) wanajeshi wa vikosi vamizi vya Marekani katika kambi ya Ain al Asad huko Iraq.

  • Kumbukumbu ya mwaka wa sita wa ushindi dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq

    Kumbukumbu ya mwaka wa sita wa ushindi dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq

    Dec 11, 2023 04:32

    Desemba 10, 2023, imesadifiana na kumbukumbu ya miaka sita ya ushindi wa Iraq dhidi ya magaidi wa kundi la ISIS au Daesh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS